@cley15_: KILA KILIO CHA MTOTO WA KIKE KINA GEUKA LAANA UKO ULIPO #fyppppppppppppppppppppppp #VIRALTIKTOK #ia #tanzaniantiktok🇹🇿 #TRENDING

PEACE MAKER 🚧
PEACE MAKER 🚧
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 09:42:32 GMT
14818
1258
145
52

Music

Download

Comments

gemm540
G😘💕🚵🚵🚵 :
kwanza kaka shikamoo nakupendaa sana nimeachwa nimeliaaa sana ila mungu atanijbu pia
2026-09-11 08:31:30
1
lea30234
Lea❤️❤️❤️ :
Unajua nini kaka, unamvumilia mwanaume na dhiki zake akijipata tu dharau zinaanza, mm niliambiwa nikadange nitafute zangu zake siwez kumpangia matumiz, na alikua mume wangu wa ndoa ila nimemwachia mungu tu
2026-08-05 09:53:06
10
teetfan
teetfan😜😜 :
🙏🙏🙏🙏 nina zawad yako ya koroshooo apa utazipataje kipenziii 🥰🥰
2026-08-28 18:22:04
1
hubbahj
Hubbah :
Tell them tell them.Ongeza sauti
2026-08-06 08:00:41
2
mismuuh
moyo💔😭 :
kaka mm nilikuwa natanya kaz boss alinibaka akanipa mimb sahv amekataa mimba, nateseka sana😭😭😭kànifukuza kaz
2026-09-05 09:36:58
1
stronglady045
Strong Lady :
mungu anilipie mm
2026-08-22 19:20:55
1
salmitah17
salmitah :
mm niliambiwa mwezi huu wa nane anaenda kwetu tufunge ndoa nikajitunza, nikajitoa kwa kila namna uzuri mm nilianza kupata kazi nikasema ipo cku na yy atapata nivumilie looh niliyopitia Mungu anajua,,, so nimemwachia laana ktk maisha asifanikiwe akose hata Mia kila anachoshika kianguke kiuchumi kiafya kimahusiano,,,, Amen 🙏😌
2026-08-05 19:20:48
3
dola48780
dola :
umenepa kiongozi
2026-09-08 17:12:55
1
husseinkadir81
Chiefkadhir :
kweli kabisa
2026-08-05 12:10:48
1
yasintalwoma
yas :
popote alipo asipate furaha kamwee,,namwachia Mungu atajibu kwa wakati sahihi🙏
2026-08-18 16:25:31
2
sweetybaby475
@Pendova🎀🦋 :
😂😂😂Mimi sas niliebadilishwa dini yangu nikafnga n ndoa bila chochote alf nikazalishwa shwaaa mtot wa pili wa wiki mbili nikafukuzwa akaoa mwingine je mim niombe maombi gan sas hapo🤔🤔🤔🤔
2026-08-06 14:22:22
0
naicy51
Purity :
Itawarambaa kwa wakt sahih na mda sahih ni swala la mda tu
2026-08-05 10:19:09
2
rahmadanielmgunda
Rahma daniel Mgunda :
nikweli baba mungu akulindeee
2026-09-07 06:47:50
1
mama.samarah
mama samarah❤✨️ :
yaan saiv nilichogundua laana nying siyo za wazazi 😁barikiwa sana kaka🙏🙏
2026-08-14 09:49:39
2
sakina52634
giveness :
ni kweli kabisa alichonifanyia alaaaniwe kabisa
2026-08-13 09:50:09
2
enyoy448
Enyoy :
daah nikikumbuka ile mipango tuliyokuwa tunapanga nimemsubilia mwaka mmoja leo namuona anaposit mwanamke mwigine daaah ila namwachia mungu atanilipia kwa hili ipo siku
2026-08-17 14:01:02
2
user053142218
mariamu :
nikweli.kabsa🙏🤲
2026-08-05 15:52:10
1
graceyoha01
grace :
dah umefanya nilie San Kaka angu asant San kwa ujumbe mzur nilipewa mimba haraf kaniambia Amanda kuoa kabila lake kipenz nachoka mie😭😭
2026-08-26 03:56:08
1
jeanine9273
Jeanine :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Mungu akubariki
2026-08-06 07:22:36
1
user2634122626593
monika :
nimependa bure waambie tena
2026-08-07 15:23:26
1
neema.alyas
NEEMA ALYAS :
ubalikiwe kakang san 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-07 03:48:53
1
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
kabisa
2026-08-05 21:38:13
1
user5804360168250
uncle r :
kakaangu simikitu langujicho TU👁️
2026-08-09 08:47:58
1
user4038460524246faith
fayfaizah :
Waambie bado
2026-08-05 11:46:51
1
user4996669807299
maria :
kweli kaka kama Mimi namulaani kila kukicha natoa namachozi
2026-08-05 10:50:56
1
To see more videos from user @cley15_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About