@dr.hamada.tiba.asili: Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo/Wakubw lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita. Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini. Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda, UNGA WA shaunizi weka kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka nusu lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari. Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi MATUMIZI: Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadog o/Wakubw lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita. Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini. Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda, UNGA WA shaunizi weka kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka nusu lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari. Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi MATUMIZI: Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena #fypシ゚viralシ #fbreels #fypシ#TibaAsili #Afya #HerbalMedicine #NaturalHealing #HealthyLiving #Wellness #Organic #HerbalRemedies #NaturalHealth #HealthTips #Detox #Immunity #AlternativeMedicine #HolisticHealth #Nutrition #Healing #WellnessJourney #AfricanHerbs #NatureCure #Drhamada #dawazakihaya #dawazakisunnah #mitishamba : #Tanzania #DarEsSalaam #AfyaBora #Mitishamba #DawaAsili #HerbalProducts #Drhamada #dranayesaidia 0793 889 562 +255793 889 562 Call or text Whatsapp kama una tatizo Lolote la afya

DrHamada Tiba Asilitz
DrHamada Tiba Asilitz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 09:51:00 GMT
2370
60
3
6

Music

Download

Comments

shani.ramathani.s
mamuu :
Amiin yaaraby amiiin
2026-08-05 15:18:36
0
user58452799568610
Abbynel :
sasa hii tiba ya nini hujatuelezea vizuri juu ya hilo
2026-08-05 19:45:53
0
To see more videos from user @dr.hamada.tiba.asili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About