ukiwa na mungu ndani yako hivyo ndivyo inavyo kuwa wakati unapokosa njia humtuma malaika wa kukuokoa na malaika haji kwa sura halis bali hutumia umbo lolote
2026-08-13 07:47:09
7
hamis mbusule :
God use different way to avoid's human and other living things from dangerous
2026-08-13 03:21:51
0
Aggy4 :
tupendane jaman maana ujui nani atakuokoa kwenye nyakati ngumu🥰
2026-08-05 10:57:31
40
Fariji_Ignass :
daaaah mungu ana njia nyingi 😭
2026-08-12 07:51:42
2
GRACE GIDION :
Mi nimechoka saana NAKWITA MUNGU NISIKIE.
2026-08-12 10:21:08
1
Smayya :
Pale ulipokata tamaa Mungu ndo anaanza napo trust me🥹
2026-08-06 08:42:01
9
SWAUMU DAUDI🌷🌹 :
nakweli walah mm ningombana na Ex wang hatusalimiani ngoja nitapgiya sm walah
2026-08-05 18:08:24
4
irenemtwigu :
mungu naomba msaada wa karibu maana nahisi kukata tamaa, fanya hima unisaidie
2026-08-12 19:42:54
2
Jseca Simon :
jina la wimbo
2026-08-05 18:54:03
2
magreth Japheth :
vile mungu humuokoa mtu pale anapokosa msaada kabisa
2026-08-06 05:47:42
2
JOYCE LYIMO (nara) :
AMEN 🙏
2026-08-05 17:32:08
2
Matthew tz :
hujaimaliza lakin alimsaidia hakumla alimuachia
2026-08-13 05:55:05
0
MC OBADIA NDIMBWA :
ay bwan
2026-08-05 16:34:37
1
Karoli Magana :
hii ndo maana halisi Mungu anafanya pasipo njia
2026-08-06 16:19:32
2
catholic daughter ♥️⛪ :
😭
2026-08-05 13:09:53
1
Gwanshie56# :
aisee 🤔🤔🤔
2026-08-05 14:59:41
2
Shamsa Rahim :
naomba urafik dear
2026-08-05 09:59:28
1
Aidan Kahama :
duu
2026-08-05 11:48:38
1
merry mwakasege :
daaah kweli mungu ana fanya njia pasipo na njia
2026-08-13 08:31:24
0
riziki togorani :
Jmn inauma sana
2026-08-13 06:49:56
0
Beatrice Paul barande :
mungu mkubwa 🙏🙏
2026-08-13 06:30:53
0
monica_boutiqueTZ :
mungu. thank. you r❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️
2026-08-13 04:10:36
0
Vava Vanesa :
kwer mung ni mungu
2026-08-13 07:19:18
0
atupelemaseta :
kwerriiii mungu atulinde na wabaya daah!!
2026-08-13 07:37:59
0
To see more videos from user @kimbrandel, please go to the Tikwm
homepage.