@kibas27:

Moseskiba7
Moseskiba7
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 09:59:15 GMT
26954
823
44
111

Music

Download

Comments

ahadikaziri5
ahadikaziri15 :
Ilikuwa darasa la Tatu daaaa
2026-08-05 18:01:03
4
mnenta17
juma mnenta :
ahahahaha tena me kwenye mathematics ndy nilikuwa wa mwisho😃😄😁😆
2026-08-05 19:50:11
3
official.nkome
NKOME :
Sahiv wamechoka hawa😁
2026-08-05 16:52:17
1
habibusefu1
𝗖𝗵𝗮𝗽𝗶𝘁𝗮𝗵𝗼𝗺𝗲 TZ :
walikuwa wanaona shule wameajiliwa
2026-08-05 18:37:10
1
masaba.daudi
Masaba Daudi :
yeah walikuwa wanazingua sana hao
2026-08-05 16:42:54
1
hajostore
Hajostore9 :
hawa jamaa walikuwa jau sana sema tunakua tunasahau
2026-08-05 12:53:33
3
user52226211839437
Otieno :
Mimi ilikuwa mwalimu akini sahishiya sikumoja tuu basi siku zijazo aiga pata na kosa zake
2026-08-05 18:45:21
2
rajabuchande59
Roger genious :
ME WALINICHAGUA HEARD BOY PALE SKULI ADI LEO WANANGU WANANIKUMBUKA KILA DAY NAMBA NGENI TU NAWAPENDA SANA INTAKE 2015 MLOGANZILA PRIMARY SCHOOL
2026-08-05 19:09:05
1
moola601
#moolah :
saiv tupo wote kitaa kinatuchapa tena yeye ndo ananiomba nimkopeshe ela😂😂😂
2026-08-05 10:46:54
0
user2222606812132
user2222606812132 :
sahivi cjui wakowapi
2026-08-05 18:27:46
1
vitalisfesto
vitalisfesto :
class monitor wetu sijui yuko wapi siku hz,duuh alikuwa mnoko sana yule
2026-08-05 12:39:25
1
dalali.godfrey
Dalali Godfrey Mbezi goba :
Walikuwa wajiona sana
2026-08-05 18:54:38
1
user8570941612378
ally nathan nassir :
daaa namm nilikuwa hvo ila nilifanyiwa primary kwahyo nilivo fik sec nikapewa namm nikawa nalipiza samahan nilio wafanyia hv mana sasa ndo naelewa
2026-08-05 20:32:34
0
user4765932250479
Queen juma :
mm huyo kabisa
2026-08-05 20:00:11
1
wanduguh.thuq
Wanduguh Thuq :
Iko wazii
2026-08-05 18:45:33
1
mwanakulyainvestment1
Mwanakulya Investment :
Sasa hivi ndo kila siku simu oya mzee nofosie hata libuku la bando hapa sielewi
2026-08-05 18:25:42
1
nickolaussingassa
Nickolaussi Ngass🥰🥰🥰 :
mm bhn HP alikuwa anipendi kama namtombea demu wakee mamaeee
2026-08-05 13:06:07
0
jacksonkasongi4
Jackson Kasongi :
nilishaga mpga jamaa kofi mwaka 2017 mpka leo tukikutana hanisemeshagi🤣🤣mm sio mwema kabisa
2026-08-05 20:40:31
0
abduly.kidary
Abduly kidary :
sasa ivi yeye ndy anakuja kwangu kuomba ushauri amesahau kma alishawahi kutupa chini daftari langu😂😂
2026-08-05 21:46:23
0
user9976161460998
7654# :
m napeleka monyewe na nilikuwa mwana siansa alahaa😂😅 mwalimu akipanic nampg fix
2026-08-05 20:09:17
1
mudy.mohammady
🎖️& mud🎖️r :
wanajijijuwa waje sasa wakusanye maisha ya watu huuku taar madaftari yamejaa🎖️🎖️💯
2026-08-05 22:35:53
0
abdallah.seleman22
Abdallah Seleman Chambuso :
mimi nilimwa yote chini kmmk akanza kuokot upya
2026-08-05 19:05:18
1
user756603125275
Uncle Lastborn :
Sasa ivi wamekuja vijumbe wanakusanya hela za mchezo
2026-08-05 20:36:56
0
yassinshoes.tz
Yassin-shoes tz :
walikuwa wanalinga awa ndezi😂😂
2026-08-05 17:41:01
1
To see more videos from user @kibas27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About