@99_mobilephones_tz: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokdaressalaam #viraltiktok

Vin_smartstore
Vin_smartstore
Open In TikTok:
Region: JP
Wednesday 05 August 2026 10:11:14 GMT
20562
310
36
18

Music

Download

Comments

deo_drizzy1
MR KUJIPIKILISHA :
ni utaratibu unaoitwa unyunyiziaji wa dawa ya kuua wadudu kwenye ndege (aircraft disinsection). Katika utaratibu huu, sehemu ya ndani ya ndege hunyunyiziwa dawa maalumu ya kuua wadudu kabla ya kuruka, baada ya kutua, au wakati abiria wakiwa ndani ya ndege. Hii hufanywa ili kuzuia mbu na wadudu wengine kuingia nchini na kueneza magonjwa kama malaria na dengue.
2026-08-05 13:13:33
10
tanzaniacargo
Tanzania_Cargo :
baadhi ya mabegi ya abiria yanatoa harufu kutokana na hali za hewa mbali so wanaondoa uvundo
2026-08-05 19:53:36
1
luckymarley29
luckymarley29🌹 :
Ukiona ndege haina Tv basi ujuwe sio ya kimataifa 😂😂
2026-08-05 18:05:16
0
divahdesign56
divah56🎨✍️❤️ :
anapuliza oxygen msije shindwa kupumua 😂😂😂
2026-08-05 12:44:25
1
user6737104900219
Irene :
bila shaka hii itakuwa twiga kilimanjaro
2026-08-06 12:25:07
0
comrademrema
comradeMrema :
kuondoa harufu ya ushuzi
2026-08-05 12:50:28
1
fairytale101.2
Fairy :
dawa ya vikwapa 😁😁😁
2026-08-05 20:58:25
1
mablo72
@mablo_t_one :
Dawa ya mmbu
2026-08-05 22:20:42
0
user67826268379738
user67826268379738 :
i
2026-08-05 12:35:12
0
rexian52
Tinah🥰 :
hio ni spray kama dawa ya mbuu kuuwa wa Dudu na infection zilizoingi kabla yakuanza safar
2026-08-05 21:42:01
1
missmish35
Missmish :
Ni dawa ya kuuwa wadudu kipenz
2026-08-05 19:11:57
1
sandasonmbwana77
sandason 77 :
🤣🤣🤣 Wewe jamba tuu
2026-08-05 16:50:51
1
iddy_chuma12
fine_kid..✨ :
rungu max😅😅
2026-08-05 17:47:47
1
To see more videos from user @99_mobilephones_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About