True wisdom isn't just about being smart—it's about knowing when to use your mind.
2026-08-05 10:30:14
3
Ms lily🦋🦋 :
frida na vido ayo macho mbona kama nduguuu🥰
2026-08-05 12:08:26
6
Rahima😚🍾🥂 :
I’m first today❤️❤️❤️
2026-08-05 10:21:46
1
It'sbjoy :
Kweli wote ni wakali mkiongozwa na Bro Millard ila nimpe mauwa @Vido vidox anatoaga majibu smart knoma yaan 🙌
2026-08-05 10:26:49
6
winnie :
uhakika vido,,nawapenda sanaa
2026-08-05 10:24:58
3
Machare12 :
Frida upo vizuri nakukubaliiiii,,,,unawakilisha vyema
2026-08-05 11:34:59
3
رمضن :
WA kwanza Leo
2026-08-05 10:21:11
2
Innoss006.Jr... :
Nawakubali sana nyie ni familia siwezi bila nyinyi MUNGU awalinde 🙏🙏🙏🥹
2026-08-05 18:22:17
0
M26 royal :
wazi bro 🤝🤝🤝
2026-08-05 10:24:11
1
SnapzOne Studioz :
hata kabla sijajua nini kinaongelewa na Madam Frida, Kaka Vido, na kaka mkubwa Millard, kwanza naweka Like kopa jekundu ♥️, naskiliza mpaka mwisho, kisha naingia kwenye comment section.
2026-08-05 11:15:04
1
fredy_058 :
ila wasukuma 😃
2026-08-05 10:20:21
1
MullerAkwino :
vido ni Prof kabisa🔥🔥
2026-08-05 17:38:00
0
user59647476455765 :
pamoja sana wakuuu
2026-08-05 16:12:50
0
Elvis Mwombeki :
Ni kweli hii point
2026-08-05 11:29:40
0
jessie :
vido hayo macho huwez kukaza
2026-08-05 19:05:08
0
joekhan :
ni kweli tunao sana kitaani
2026-08-05 12:40:23
0
Anty Amoe :
Mm napenda kidomo cha vido 🥰
2026-08-05 16:16:46
0
Selemani💪 :
ivi mwenye nyumba kukuuliza unafanya kazi gani!? ni saw au😂
2026-08-05 11:22:00
0
Master_viwanja :
😁😁😁
2026-08-05 10:21:31
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.