@mysolsolartz: Hakuna gharama za ziada za kufungiwa mtambo, hakuna kubahatisha, hakuna usumbufu. Utafungiwa mtambo wa 10w, 55w, 80w, 120w na 200w bure kutoka kwa wataalamu wetu waliobobea ktk sekta hii. Kila kitu kimepangiliwa vizuri ili taa zako, feni, laptop, TV na vifaa vingine vifanye kazi bila matatizo.”. Nishati ya jua ya uhakika na ya thamani kwa mahitaji yako na utulivu wa moyo. Agiza nasi sasa!