"Atakayezusha katika jambo letu hili (dini yetu) jambo lisilokuwamo humo, litakataliwa."
2026-08-05 15:12:19
1
al :
je ibada ni nini?na tukisema hii ni ibada,inatufaidisha nini?
2026-08-05 13:18:23
0
user5540835522671 :
mungu akuweke maisha marefu
2026-08-05 14:08:35
0
hakimsalvador demateo 🇰🇪 :
maulidi haina ushahidi....toeni ushahidii
2026-08-05 19:24:38
0
Fadhili Manguya :
hapa ndo utafahamu kwanini bakwata hawampi na nafasi zao huyu shekhe maana yupo nao huku anawachapa shukran shehe maneno yamenyooka sana (asili ya ibada ni haramu)kwaiyo ukifanya mkusanyiko wa maulidi tutakuomba dalili ili kuthibitisha (makhurafi awaamini macho yao)
2026-08-05 18:21:18
1
شمهروش ملك من ملوك الجن :
hakun muwahab atakuelewa hadi kiama
2026-08-05 17:48:28
1
Nouhu Kandege :
jembe langu mawahabi hawatokuelewa shida uwelewa endelea na daaw
2026-08-05 12:40:19
0
djuma saleh :
kuli bidaa bwalala na kuli bwalala finari janamu,mwalimu mwenyewe mtume Muhammad akusema kuna bidaa nzuri,mna buni tu,kwa kusema kiarabu.
2026-08-05 22:24:23
0
djuma saleh :
yeye atoe tu dalili ambao inasema mtume Muhammad alisema kuna bidaa nzuri,anapumbaza watu kwa kuongea kiarabu, kamera inakuja je apo,camera nikitu kina saidia kuona ila kina cho ona ni macho sio kamera.
2026-08-05 22:42:36
0
Khamis Ameir :
👏👏👏
2026-08-05 12:20:48
0
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
الأصل في العبادات الحظر
هذه قاعدة معروفة عند أهل العلم:
الأصل في العبادات التوقيف؛ أي لا يُعبد الله إلا بما شرعه في القرآن أو ثبت عن النبي ﷺ.
والأصل في العادات والمعاملات الإباحة، إلا ما دل الدليل على تحريمه.
ودليل ذلك قول الله تعالى:
﴿أَمْلَهُمْشُرَكَاءُشَرَعُوا لَهُمْمِنَالدِّينِ مَا لَمْيَأْذَنْبِهِ اللّهُ﴾ [الشورى: 21].
وقول النبي ﷺ:
«من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد» متفق عليه.
فمعنى قول العلماء: "الأصل في العبادات المنع" ليس أن العبادة نفسها حرام، وإنما يعني أنه لا يجوز إحداث عبادة جديدة أو كيفية جديدة في الدين إلا بدليل شرعي. أما العبادة التي شرعها الله ورسوله، فهي مشروعة، بل قد تكون واجبة أو مستحبة بحسب نوعها.
2026-08-05 20:33:48
0
To see more videos from user @jurashcontinuer, please go to the Tikwm
homepage.