Wimbo huu unanitowa machozi kila nikiwakumbuka ndugu zangu,wameshatangulia Mbinguni,😭 Tulikuwa tukishindana kuimba nyimbo hizi.Mungu awasamehe makosa yao.Amina.
2026-08-06 11:09:51
3
Fred saick :
Nyimbo zilizotungwa ndani ya Roho🥰🥰
2026-08-06 05:17:45
1
Chris M :
PALE NI WAKATI MUNGU ALIKUWA ANGALI NASINDIKIZA WATUNGA NYIMBO SIYO KAMA NYAKATI ZETU. LEO MUSTARI MOJA TU NI WIMBO MZIMA NA MZIKI MWINGI. UNASIKIA ALBUM IMETOKA ILA TUNAJIULIZA WANAIMBA NINI ? MZIKI TU
2026-08-06 07:48:01
4
JOSEPH MULEI :
hello can I get all zilizopendwa kwa my whastap akh
2026-08-09 11:51:25
0
kyando :
nimemkumbuka baba angu jamani na Panasonic yake
2026-08-06 16:01:45
2
kavansy :
daaaaah😭mwaka nausikia huu wimbo 1992
2026-08-06 07:12:00
0
user7526090616199 :
Duuuuu hii kwaya iliishiaga wapi imenikumbusha mbali sana enzi hizoo nimebarikiwa sana
2026-08-07 15:03:33
1
bernardmwangi06 :
All glory to the living God in heaven,1987 memories still leave.
2026-08-06 05:58:57
2
bq20s :
amen nimekumbuka zamani maisha ya nyumbani kwetu yalikuwa mazuri sana jamani
2026-08-06 03:50:54
4
Douglas :
hizi ndo nyimbo safi sio hizi za Sasa watu ni kujipaka makeup na kuimba vitu hazina ujumbe
2026-08-06 03:56:28
3
Richard Musembi :
neema izidi kuanyingi
2026-08-05 18:06:05
1
Sophia John :
inaujumbesafisanaimetulia
2026-08-06 10:48:50
1
Wiza tz :
Nimekumbuka sana miaka ya 80's huu wimbo, Mungu awabariki sana wana wa Mungu
2026-08-06 18:06:00
1
user6788678351567 :
old is gold.
2026-08-05 17:54:37
2
Douglas :
nkinga choir mubarikiwe kwa kazi nzuri hiyo
2026-08-06 03:56:58
1
Asnarth12 :
nyimbo yangu pendwa 😇😇
2026-08-20 20:18:07
0
R K Bii :
Nkinga Choir...moto sana
2026-08-17 20:37:50
0
Sir JOHN :
nazipenda, kwa Radio matumaini
2026-08-22 22:10:32
0
davy :
I remember this was during my youthful stage pple were serious na mambo ya kiungu not like nowdays things have changed into business activities .
2026-08-18 05:43:22
0
jose :
nikija mdogo
2026-08-17 17:30:47
0
Joseph A :
nice song
2026-08-17 16:16:20
0
Benjamin Gapi :
amen
2026-08-05 18:08:08
0
To see more videos from user @billgatekambafinnest, please go to the Tikwm
homepage.