Mimi ilivyo ingiya mimbatu ndo mwishi wakushiliki ilo tendo nanimezaa kawaida Alhamdulilahi
2026-08-06 06:43:56
5
queen rahma :
Sasa nitachiriki na nani wakati mwenye mimba mwenyew alichaikimbia😢
2026-08-06 16:20:16
2
Sumaiy :
mbon Atuwaelewi jmn kila mtu Anaongea lake
2026-08-05 20:27:58
7
lastborn🥰🥰🥰 :
me nitafanya had siku ya mwisho😂😂😂😂
2026-08-07 06:19:25
0
Cherry 🍒🍒 :
😂😂We kuweza ntafanya mazoezi tu
2026-08-06 04:46:56
1
gracie :
apn me nilikuwa sipendii kabisaaa kwanz nikuwa najifunika pekeqngu na mume wangu pekeqke na nikajifungua salam bira kuongezewa njia ni Mungu tu jaman 🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 06:23:17
1
🌅princess 💚 Abby Abbie💥 :
sasa Mimi simpendi nifanyeje
2026-08-07 16:19:52
0
melania kakulu :
Mimi mume wangu ndiyo ataki Ata kunigusa jamni
2026-08-05 17:09:54
1
@minah.elias :
ko tusifanye au tufanye😳
2026-08-06 12:52:20
1
be :
wengine hatna waku tufanyia je tuta fanyaje
2026-08-06 09:03:31
1
Selly Nanjala :
mm mume wangu ako mbali
2026-08-06 10:07:52
1
daatu :
dokta kichwa cha mume wangu hukijui wewe nilimpa kila siku na bado nilichanwa🤣
2026-08-07 14:43:23
0
usertumu01 :
hata havihusianii
2026-08-05 17:13:43
0
Rachel🩷 :
Koo kt ya mazoezi na tendo tufanye kipi mnatuchanganya 🙄😹
2026-08-06 07:54:58
2
cinoriter 26 :
mm nilipenda hayo mambo mpaka siku ya uchungu anatia huku anasema mbona huu ute kama una dam dam namwambia maliza ukimaliza tutachunguza akimaliza tukichunguza kumbe ni uchungu lkn niliumwa mpaka dactar walikata tamaaa walinipasua 😳😳😳😳
2026-08-06 06:55:33
0
Celina haroon😍🥰 :
😂😂😂😂😂 W kom weee😁😁😁
2026-08-05 18:15:05
0
shuuu mzirai :
mm uyo
2026-08-07 15:18:10
0
Riziki ❤️❤️❤️❤️DM :
Jamani uwongo ni meongi sana
2026-08-07 14:12:56
0
farhiya💫🦋 :
mmh huu uwongo sasa
2026-08-07 14:03:36
0
Dockie :
hizi elimu mhhh😌
2026-08-07 12:59:00
0
Emilliana Mhagama :
mmmmmh mungu atanosaidia mtajifungua salama ila simpiiiii
2026-08-07 14:28:26
0
To see more videos from user @dr_naomy, please go to the Tikwm
homepage.