sheria ya wapi iyo yani kunaviongozi wetu wanashauliana na wake zao alaf wanakuja kuturopokea wananchi
2026-08-05 20:55:49
42
Kaijage Kyoma :
I Wonder...🚶🚶🚶
2026-08-05 21:22:35
0
monalisaally :
Nyumba zenyew za urithi baba nae karithi nyieee mtuache😂😂😂
2026-08-05 20:22:14
39
Anaphy Jaweta :
Hii Haina Come Back 🤣🤣🤣
2026-08-05 19:56:03
5
Juma Samson :
mbona nyie tani zilikamatwa mkatoa hela hmna aliyezungumzia hilo
2026-08-05 19:19:14
19
Alen :
Airport na Bandari ni mali ya serikali. Mtoa maoni bolt zimelegea kichwani
2026-08-05 19:06:59
10
trevor_ :
hio haina comeback😂😂😂
2026-08-05 19:37:15
1
Juma Hamadi☪️ :
nimecheka mpk nimekufa
2026-08-06 00:42:01
2
Nana butterfly 🦋 :
Pablo kamaliza kila kitu 🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 20:47:31
15
Mr FeiKHam :
pabloo tikitikitiki takatakataka😂
2026-08-05 18:18:22
6
siajerry :
Pablo ulindwe kipenz
2026-08-05 21:11:53
5
Rosta Mihonjo :
uyo mbona kama baba mwenye nyumba angu😂😂
2026-08-05 18:52:51
10
Abdulhakim :
umeshatusemea kwaniaba, heshima kwako pia 🥰🥰🥰
2026-08-05 18:18:09
12
ma p :
jamani kwenye ujenzi wa sanamu la pablo swala la siment na kokoto niachieni mimi nitamaliza
2026-08-05 20:19:29
9
Ajia :
🤣🤣🤣Kamaliza hakuna cha kuongezea
2026-08-05 17:21:14
7
💍🌸MIDEKO❤️🧕🔐🙏 :
hii nchi Kuna sehemu pametoboka🤣🤣🤣🙌
2026-08-06 05:42:54
4
ashkie 🤍 :
Tz ndio nchi inayotukana serikal😂😂😂
2026-08-06 06:06:57
2
Tibwa :
taifisha mali yake muuza unga cyo mali yangu mie yule ni mpangaji wala mie cjui biashara yake na wala hanihusu mbona jela anaenda peke yake basi namie nikafungwe jela kama yananihusu
2026-08-05 19:36:28
0
Joyce :
Pablo kuanzia leo ufalme wa mbingu na nchi ni wako.
2026-08-05 22:10:28
1
Eric Mugele :
Ndege ambazo hawa wabeba unga hupanda nani atazikamata na kuzitaifisha?
2026-08-05 21:08:17
2
To see more videos from user @venancemasimba793, please go to the Tikwm
homepage.