@abuhuleka_10:

Abuhuleka_Said
Abuhuleka_Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 11:16:10 GMT
204324
20265
760
1134

Music

Download

Comments

user49035054035854
football⚽✨💯 :
Mungu yupo na ni mmoja tu 🙏🙏
2026-08-05 16:54:07
425
user7620022967551
Ãmãñîsm thêöry :
Tunaoamini Mungu yupo gonga like 🙏
2026-08-05 17:24:47
1033
wayance_
Wayne :
MUNGU NI SISI WENYWE YUPO DANI YETU SISI WATU WOTE DUNIA…
2026-08-05 17:23:16
171
user86198511821
VIRGO QUEEN :
kama dhambi ya adam mpaka leo tunaitumikia ila utajiri wa suleiman hatuna mpaka leo
2026-08-05 18:27:11
79
bordermc274366910577
Muchinji boda :
mungu yupo tena yupo
2026-08-05 18:16:37
97
hamzaabdulkadir077
HAMZAA Abdulkadir077 :
Bora uamini Mungu yupo na ukienda usimkute kuliko uamini hayupo uendee umkute kazi ipo
2026-09-03 19:10:27
26
baraka3011
baraka💫 :
wakuu tuishi tu.
2026-08-06 08:30:00
8
singsang309
😁 :
heri kuamini ukakuta hayupo kuliko kuto amini ukaenda ukamkuta, kilio chake hakina matumaini, tutendeni tu mema jamani
2026-08-06 04:54:00
39
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Nkianglia jua linawaka mchana na lime balance watu tusiungue na nikifikilia mwez unaangaza usiku mida ya usku inatosha kuthibitisha Mungu yupo Bado mengne kibao🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-05 18:32:52
48
user8199611153054
user8199611153054 :
MUNGU yupo na ameketi kwenye kiti cha enzi ila nyuma yake kuna ulimwengu wa giza sisi inatakiwa tuishi hapa duniani kwa unyenyekevu na sio kujiamulia
2026-08-05 18:53:57
8
klinecollectiom
Raiyyan_fahmy :
weee kaka ww tafadhali mm sitaki jaman mungu yupo jamn khaaa ebu msituleteee laan sie
2026-08-06 00:47:32
5
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Mungu yupo jaman 🥺 Mungu yupo na anaishi mionyoni mwetu
2026-08-06 06:46:09
6
eze___2209
𝐄𝐙𝐄🍃 :
God is Great
2026-08-06 05:40:28
5
emmanuel.almasi.k
ALMASI💎EMMANUEL KABAGE :
mimi najua MUNGU yupo, kasha jisibitisha kwangu na sina mda wakumsibitishia mtu, anaetaka kusibitishiwa amtafute MUNGU mwenyewe amsibitishie, akili ya MUNGU haichunguziki na haifikiri, pale akili ya mwanadamu inapo ishia kwa kufikiria ni hapo ya MUNGU inapo anzia
2026-08-12 08:26:20
5
loui_talent
laurent_geo🀄 :
kama kuna uchawi na tunaona matokeo kwa wazi waz bas hata Mungu yupo na ana nguvu kuliko chochote ulimwenguni
2026-08-12 19:22:50
10
user4581286030339
Omaley :
anae amini mungu yupo like hapo
2026-08-17 08:06:08
6
ryobamwita7
Ryoba Mwita :
mungu yupo na atakuwepo hat milele
2026-08-21 20:14:29
6
loui_talent
laurent_geo🀄 :
kama kuna uchawi na tunaona matokeo kwa wazi waz bas hata Mungu yupo na ana nguvu kuliko chochote ulimwenguni
2026-08-12 19:22:50
7
chikidchentooh
VINCENT DONALD :
GOD IS GREAT
2026-08-05 21:20:48
7
jclever.tz
Jclever Tz :
HAKUNA KIUMBE KILICHO JUU KINACHOITWA MUNGU , MUNGU NI NGUVU NA NISHAT ZILIZOPO KATIKA KILA KITU
2026-08-05 18:46:37
34
last.bron423
last born🌵 :
ata mimi nimo umo umo kwenye ayo maswali
2026-08-11 21:21:08
5
jackmsilombo
JACKSON MSILOMBO :
MWENYEZI MUNGU NI ALPHA NA OMEGA. MUNGU YUPO.
2026-08-13 22:54:10
13
br.story6
BR story :
like hapa wanaoamini MUNGU
2026-08-07 18:59:46
7
emmaic09
Emmaic09 :
Mungu ni chanzo na chazo kipo Kila mahali ,, hata wewe na Mimi tuna uungu , nasi ni miungu , kwa hiyo maji hewa moto ardhi , watu , sote sisi ni udhihilisho wa chanzo kimoja (energy) ambayo ni Mungu mwenyewe ,
2026-08-06 20:22:52
9
user4984617515757
TNBT packaging :
bora uamini yupo uende umkose ila sio uamini hayupo alafu umkute ndo utaelewa kwann maisha ni filam
2026-08-05 17:28:21
25
To see more videos from user @abuhuleka_10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About