@hajizanzibartourguide: serikali ya zanzibar bila kudhulumu wananchi wake..haiwezi kufanya mradi wiwote.

HAJI FRANÇAIS À ZANZIBAR🇨🇵
HAJI FRANÇAIS À ZANZIBAR🇨🇵
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 11:22:48 GMT
7737
250
63
24

Music

Download

Comments

onlyo614
only one :
yaan utawala mbaya mnoo zulma tu ila tangu awali ni zulma tu
2026-08-05 18:53:18
1
mrfixer00
Mr Fix305 :
Hizo barabara tunazojengewa tunatakiwa tuzilipe kwa lazima, maana nahisi siku za mbele tutaambiiwa tuvae viatu maalumu vya kutembelea barabarani, ukiwa huna unapigwa risiti😂😂😂
2026-08-05 16:58:40
7
mrshelen25
Miss Helen💍❤️🔐 :
wanachaka pesa tu woo
2026-08-05 18:14:19
1
mpipo4
mpipo :
kweli hakik
2026-08-05 18:44:24
1
naifat.02
🥳Nailly....02❤️💞 :
chaaaa njo shidaa
2026-08-05 19:08:26
0
muntaryshehe
MUNTARY G7 :
lakini ilo deni weshalitia kwenye sistim
2026-08-05 16:12:36
1
salymshaa
Salim :
aaah babu washaamua ao kwa hyo tutulie tu 😆😆😆😆😆😆😆😆
2026-08-05 18:44:02
1
hajimakamewamakam
kijana wa kale :
washaniibia sana kwa sababu mm nashindwa kudadisi
2026-08-05 14:26:18
2
user8722512466383
user8722512466383 :
ao askari nga izo pesa hawanavata wao kimbele mbele tu wanacho
2026-08-05 19:42:43
1
abdulirazak
user8056128284967 :
50. wewe umeona 80
2026-08-05 18:35:23
1
tovukuu_2001
tovukuu2001 :
Ilo deni lipo boss hata kama risiti wameichukuwa cha muhimu we kalipe tu AWalichokifanya apo ni kukurizisha tu ili pasiwe na zogo tu.
2026-08-05 18:09:44
1
ramadhaniali1
bakari alli ramadhan :
bora nilime kuliko ukamanda
2026-08-05 19:07:41
0
officialyou911
seif chony :
nacheka kama mazur 🙃🙃🙃
2026-08-05 17:38:48
1
mnayama6
mnyamani :
pole Sana ndugu
2026-08-05 17:39:48
1
muyazakh.mohammei3
Muyazakh Mohammeid :
2026-08-05 19:12:35
0
saidshaban55
Last~king ☆ :
Wizi mtupu
2026-08-05 15:38:27
1
user8722512466383
user8722512466383 :
uonevu tuu
2026-08-05 19:41:48
0
nobigdealy
NoBigDealy :
2026-08-05 17:25:39
1
ndoma_47
ndoma the great :
hapa mbona kazin kwang kendwarocks
2026-08-05 19:29:01
0
jmk_2024
🌴 :
Matapeli wakishirikiana na pilisi bandia mara
2026-08-05 19:47:19
0
mohdhassan60271
Moh'd Hassan :
washaanza kutumia camera wamezindua juzi saiv full dhulma
2026-08-05 20:13:47
0
diblo_master
Diblo Master :
Broo hao walitk kukusumbua lkn ila io system waloiweka lengo kuepusha iyo dhuluma ni jambo la mda tutaizoea tu
2026-08-05 17:45:07
1
othman.ibrahim26
othman Ibrahim :
mdereva kaz tunayo tutaacha ndara
2026-08-05 18:28:29
1
To see more videos from user @hajizanzibartourguide, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About