@cawabemedia_: Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji. Baadhi ya Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000. “Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii. Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao.CCMillardayo

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 11:53:02 GMT
35768
1833
112
58

Music

Download

Comments

damegrwat
Dawson :
kwenye kampeni mnapewa mafuta ya teni mnaxhangilia mitano tena 😅
2026-08-05 13:48:52
14
scania_mninga
mirumba :
zifungiwe wanagonga watu sana waumiza watu pikipiki wauwaji
2026-08-05 15:53:04
3
enock.patrick4
🇰🇪Enock Maluli🇨🇩🇰🇪 :
TUINGIE ROAD
2026-08-05 12:07:41
2
careen291
rama gama :
kipindi cha kampeni mnadanganywa kama watoto
2026-08-05 13:26:48
6
user1496285741215
user1496285741215 :
simlikua mnapewa bukubuku kipindi cha kampeni wariwakopesha Sasa zinaludi mturiee tuu
2026-08-05 14:55:00
3
samah_serum
samah_serum :
TUFWATE Sheria hakuna aliejuu ya Sheria
2026-08-05 15:00:16
1
user7241488323973
Jackson ac spare parts :
kila mtu ataguswa kwa wakati wake alisha sema heche
2026-08-05 14:14:14
5
saidlyamba
Lyamba :
Baba alisema tutamkumbuka 🥺🥺R. I. P ANKO MAGU🥺🥺
2026-08-05 14:15:53
2
johnmateru
john materu :
hatimaye
2026-08-05 14:45:56
1
zyger5
zyger12 :
oya iyo kweliiii juzi nimekamatwa mimi bolt nikapelekwa jiji iliniuma snaa asee
2026-08-05 13:40:34
2
kelvin.john757
Kelvin John :
poleni boda wezangu 😭😭
2026-08-05 14:20:28
1
user9760882513829
user9760882513829 :
n kweli wanaonea
2026-08-05 13:26:28
3
b52the.hearthealer
B52(the heart healer❣️) :
mbona mapema mno mnaanza kutoa milio maafisa usafirishaji😂😂
2026-08-05 13:31:53
2
user1707672202252
user1707672202252 :
mwenye kiti wa bodaboda yuko kimya
2026-08-05 14:57:13
1
user43318281312297
stady :
wanazingua sana yani kitendo chakuingia dukani unakta pikipiki washaibeba ukifika kule kuitoa elf 60000 yani mpaka unaichukia nchii
2026-08-05 14:05:56
1
karim_fighter5
Karim_fighter :
hapa ndonawakubali vijana wakibongo wanauthubutu wakutetea haki yao
2026-08-05 17:51:15
0
user1818547132959
SUNGU ENESIA :
wewe tumewachoka sana sana,,,
2026-08-05 13:13:25
1
agentmoyo0763411222
tanzania kigamboni viwanja :
nyumba viwanja mashamba yard beach
2026-08-05 17:33:21
0
arakeni6
Arakeni :
zele elfu kumi za kampeni zimeisha
2026-08-05 17:39:36
0
user6126306226873
arafati :
serikali hii inanyanyasa sana watu hao wanaokamata wanatumwa na serikali
2026-08-05 18:11:32
0
bodabodawambagala
BODA BODA WA MBAGALA :
Nachoka mimi
2026-08-05 18:21:29
1
mapanda412
mapanda :
kwa wanetu kwa nn msilianzshe apo apo
2026-08-05 17:42:29
0
omarybelekete
Omary Belekete :
kwerii kabsa
2026-08-05 13:18:38
1
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About