@nuel_fx1: Kwa trader mpya au mwenye uzoefu ambaye anatamani kupiga hatua katika safari yake ya Trading, muda ni sasa nafasi nichache wahi yako mapema *TRADING IS RISKY, IF YOU THINK YOU ARE NOT READY TO RISK KINDLY DONT STEP IN* NB: Hakikisha una mtaji atleast kwanzia 50$ kuendelea #forexeducation #forextrader #forexprofit #forexanalysis #forexlifestyle
broker weng ukitrade news wanakufungia account,nambie mkuu broker gan unaentumia kw news
2026-08-06 07:36:28
0
Venomous :
Bruh mbn km uko on my mind mpk fomc naish nayo 😂😂
2026-08-05 16:18:00
0
fashkal69 :
bro umeongea fact coz prop firm zinalemaza it's better to take risk
2026-08-05 20:40:31
0
kijukuuu cha forex backup :
umemalizaa traders need only one singled setup😂
2026-08-05 19:37:57
0
mr happy 😄😁 :
inkwel umeongea nip apa I need your help nna dola 10 tu so poa
2026-08-05 22:18:23
0
Mr.Cool Fx :
Umezungumza ukweli mtupu. 🔥 Traders wengi hawana tatizo la strategy, tatizo ni mtaji. Ukiwa na discipline ya kutenga hata $30 kila mwezi na kuutumia kwenye major news kama NFP, CPI, PPI na FOMC, ndani ya muda unaweza kujijengea mtaji wa maana. Forex sio mbio, ni safari.
2026-08-06 19:52:49
1
J C M :
hapa Nina $89 nasubir hio nfp at least ikifika $700 tu naona kabisa takuwa 50% ya malengo yangu
2026-08-05 19:50:44
1
Ben Mhina :
fact Bro
2026-08-06 10:16:38
0
sting Fx trader🦂📈📉🇹🇿 :
Broo naomba uni add
2026-08-05 20:19:41
0
chenny D'' the lion :
umrongea point sana
2026-08-06 09:29:36
0
Israfil NI Kylian :
kaka kama vile umeingia kwenye akili yangu♥️kaka Kweli Nami NFP Ntajilipua 10$ full margin tena ninaimani ntafanikiwa
2026-08-05 13:39:17
3
Mwita Maswi :
hiii iko sawa
2026-08-05 17:32:34
0
Dallu tronics :
Hallow mm nataka tutrade wote kwenye news
2026-08-06 06:11:22
0
Morisho Masudi :
kaka nilisha ku kutumia mesage inbox kaka naomba usome mesage
2026-08-05 17:21:06
0
travisatb :
huyo broker gani ilionyesha apo?
2026-08-05 14:47:44
0
JAY📊📈💸 :
fact brow but mtu wa usd100 pia ni ngumu sana kuiresk coz anajua soko likigeuka hajui pakupata usd100 nyingine
2026-08-05 17:07:02
0
Fazamathe :
Au unapiga lot mfano Dola 100 kuitumia 0.5 kwa currencies ukiwa na umakini unamake huwezi fanya hivyo mara 4 hujapata Dola 2000
2026-08-05 17:04:31
0
.☢️📊📈📉🇹🇿 :
Kaka Nina $100 Nusu nabuy nusu na sell 📊 broker tofauti
2026-08-05 16:49:15
0
_.akyoo_ :
Bro $30 haiwez fika $300 labda kama utapewa deposit bonus kaka , ila hvi hvi ni ngumu , broker anakupa ufungue lot ya 0.03 tu hapo kwa $30 so hapo unahitaji NFP ipige pips 1000 kitu ambacho n kigumuuuuu
2026-08-05 18:02:06
0
23@4yr :
no
2026-08-06 20:31:39
0
DIRECTOR ✌️ :
ukweli mchungu n kwamba natafta knowledge kwanza na sina ata miaa 😂
mungu anisaidie tu kwanza
2026-08-06 06:50:57
0
mr happy 😄😁 :
hi
2026-08-05 22:17:19
0
Lenard Faida :
Kaka mimi ndo nimeanza kujifunza forex bado sijaanza hata kutrade
2026-08-06 19:55:05
0
To see more videos from user @nuel_fx1, please go to the Tikwm
homepage.