ingekuwa Pacha wanapatikana kwa madawa basi kila mwanamke angekuwa nao, Pacha ni mpango wa Mungu
2026-08-05 12:26:28
7
Ebarongo. :
Nashukuru sana dadangu,nilikuwa na shida ya acid reflux kwa miaka tatu,ulipotoa dawa iliweza kunisaidia na sahihi nameza chakula vizuri,shida nyingini nimepoteza mimba tatu,2024,2025,2026 ikiwa na miezi nane,saba sita,na sahihi Niko na nyingine,nifute machonzi dadangu naomba.
2026-08-05 17:20:35
1
Ashley Ayman :
Na mimi naomba dawa ya mapacha
2026-08-06 18:04:56
0
Salwa Mohammed :
i need for the periods
2026-08-07 17:38:56
0
Jamila :
dada mm sjui ninashida gan nimeshika Mumbai 3 mbili zimeishia miezi 6
2026-08-05 14:19:17
0
Esther wanny :
dada tuambie majina
2026-08-10 12:45:48
1
princess Mtanganyika :
Tunaomba majina ya Hizo Mbegu please
2026-08-10 04:17:18
1
Bayoli Zawadi :
dada nataka dawa ya bwizi mtoto wangu anaiba sana
2026-08-05 23:24:40
0
swaumu sephu❤️ :
mm sishiki mimba dada
2026-08-05 12:58:03
0
Fiston Kaposo :
Dada mambo,nimetafuta"chia seeds" sana mupaka nimekosa.kwani ina rangi gani ama ngapi?
2026-08-05 21:07:41
1
iscokhan_45 :
me mpendwa naomba dawa ya acd reflux
2026-08-05 14:56:26
0
Queen008 :
dada naomba ya hormone zkae sawa
2026-08-05 13:06:22
0
Espearnce Sudi :
Ok
2026-08-24 23:44:24
0
ester :
ungeandika kwa majina maana picha haionekan vizur
2026-08-05 17:49:11
0
Merveile Kavira :
bonsoir dada unge andika kwa majina maana picha haionekan vizur