huyu msomaji alishafariki allaah amrahamu Mubaarak shaabani from kigoma
2026-08-05 13:15:33
18
😍😎😎 :
ni saw lakn omba dua njeema kwa wenzio il na ww upate mema sema alokuwa hapend kuskilza mungu amuongeze aipende kur-an kumbuka uislm ni dini mzr na inamtakia kher kula mtu
2026-08-05 13:31:44
40
Rania :
sadakta kaka wanapendakusengenyavwenzao au kusimbulia sio viziri mungu hataki ivo
sio vzr kuwalaani binadamu wenzio watu hawajakamilika sheikh!! tuendelee kukatazana mabaya na kuamrishan yaliyo mema
2026-08-05 18:57:54
2
gafzo :
omba mwish mwema na usimlaani mtu Bali muombee dua
2026-08-06 19:01:52
1
riziki :
eaombee wenxio njia ya kher sio kulaani unpolaani mungu anaanza na wewe mungu akupe kauli njema
2026-08-05 15:21:52
4
sulesh07 :
Uislam hautak wat waombeane dua mbay bali ni vyema kmuombea mwenzko dua nzur na wal sio ksema mtu alaaniwe hii sio nzur dngu yng ktk iman mnasihi mtu kwa kauli nzur ili avutiwe na uislam I hope utkuw umnielew sio kwa ubaya
2026-08-06 19:44:42
2
MVUKAMTO :
mwanadamu angepewa uwezo wa kutoa pepo na moto naona peponi kungekuwa kuna idadi ndogo sana ya watu...naona wanajimilikisha mamlaka ya Allah wanatoa laana hawakumubushi kama mipaka ya mwanadamu ilipoishia ni kukumbusha tu na sio kutoa laana..
2026-08-16 05:03:53
1
sudais :
muislam hupaswi kumuombea mtu dua mbaya hata kama kavuka mipaka laana huwa inaanza nawewe hata kama unafanya mambo ya kheri utajikuta hufanikiwi kumbe dua zako za kuombea mabaya wengine jichunguze
2026-08-06 18:19:47
3
malikabdalla42 :
ni makosa kusema"ulaniwe" hata kama hakusikiliza mnasihi kwa kauli njema ndo dini yetu inavyotuelekeza