@bongo.story7:

BONGO STORY
BONGO STORY
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 12:37:12 GMT
411383
28753
370
752

Music

Download

Comments

hancyjay125
@Hancy~jay 💝.MoCU👨‍🎓 :
Hakuna baba ambae anapenda kumtelekeza mwanae ,
2026-08-06 20:32:49
46
saidimsirisaidi
Saidi msiri Saidi :
Mimi namunga mkono mondi aiwezekani ulinitelekeza utotoni eti Leo nimefanikiwa unajileta siwezi kukupokea
2026-08-06 06:57:25
47
siwema.waziri
Siwema Waziri :
Sasa! Mimi vile Sina baba halafu mtu anachezea baba,naumia sanaa
2026-08-06 06:25:11
40
abdallah.aly28
Dully :
Hii ni funzo kw wale wanao telekeza watoto wao
2026-08-07 19:47:05
15
zakiahusen5
zakiahusen5 :
sina neno ila ila kutelekeza mtoto matokeo yake ndiyo hayo wazazi wengine hawana moyo wakusamehee jman duuuh ila inauma sanaaaa kuachiwa mtoto uleee mwenyewe
2026-08-06 20:16:34
15
estarmkya
Estar Nkya :
Kwa Kweli Siyo Vizir Mliye Na Eazazi Wote Waheshimun Sana Wazazi Msiangalie Upungufu Wa Wazazi Baba Na Mama Ndiye MUNGU Wa Pili Mim Sina Baba Wala Mam
2026-08-06 08:53:06
7
user79284110905247
Asha kuweka@ :
pole baba mungu atakulipa
2026-08-05 22:10:02
5
emanuel.maduhu7
Emanuel Maduhu :
kaka mzazi ni mzazi tu
2026-08-21 22:08:12
0
user1571947161997
Neema :
atakama ira mkubwa akosei na mzazi nimzazi
2026-08-20 15:28:58
2
user4881560625341
user4881560625341 :
angemsamee tu ata m mungu anasema ukimsamee binadamu mwenzio na yeye anakusamee
2026-08-12 09:31:55
1
nobaddee
🦁🖤 :
kweli nice
2026-08-06 10:44:46
2
mgenibembe
mgenibembe :
daaah
2026-08-05 18:33:48
5
dulah6play
ima boy msafiiii :
hata kama lakn kusameh nayo huwa ni tiba ya moyo jmn
2026-08-07 09:51:32
7
suziemalongo123
suziemalongo :
baba mwenyewe star 😂
2026-08-08 20:03:07
1
user1310553044905
user1310553044905 :
pole
2026-08-06 08:05:51
2
minasmimoh
BGD :
hapana km alimtelekeza mtoto apambane tuuu,na waache kutelekeza watoto.
2026-08-06 18:45:54
0
ann568384
ann manyorio :
Pole sana
2026-08-06 18:20:10
1
user2000475294195
user2000475294195 :
msameheni msibebe mazaifu yake.nibinadam alafu nendeni mbele mrudi nyuma . watoto wetu tuna wajengeya picha gani.jamani mpendeni huyo baba msitake laana kwa vizazi vijacho akuna anaye ishi milele jamani
2026-08-06 11:53:58
3
user6514747756574
user6514747756574 :
hata ss baba yetu alitutelekez tumekua na mama kwa shda lakini mm bad namsamini baba mama
2026-08-06 11:51:52
4
mamasuu176
mamasuu176 :
amsamehe tuuu baba ake
2026-08-07 13:59:57
1
agnessjafari1
agnessjafari285 :
amna kosa lisilo sameeka ap duniani
2026-08-06 07:50:36
4
user56145916823705
user56145916823705 :
ebwanaeee 🥰🥰🥰🥰
2026-08-05 13:20:55
4
muidinihamisi
Muidini hamisi :
maisha yanamsumbua naona atazame mambo yake
2026-08-06 09:33:31
3
user2529545378859
Angugo nyarkablack :
Mzee Abdul reassemble Hamisa's son
2026-08-10 06:42:10
1
harerimanashitra
harerimana shitra :
maisha niya Allah we acha tu
2026-08-05 20:48:35
3
To see more videos from user @bongo.story7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About