@mr_kasamba:

Mr_Kasamba
Mr_Kasamba
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 12:41:55 GMT
65438
1252
86
159

Music

Download

Comments

king.kikya4
king kikya :
hii n kwa gvt school🤣🤣
2026-08-11 10:34:30
0
tonybenny492
Tony brizy$$$🫴🫴 :
wasomii hi👋👋👋
2026-08-09 16:12:48
1
samwelsimba19
Slowmotion :
😂😂🤣🤣tusome
2026-08-09 20:13:04
0
henadhtz
hena Dh :
Wameonesha utofauti mana kila gali ni kiingeleza2
2026-08-09 20:29:46
28
zainabisaidygmail
🫶🫶Mrs Shaphy💋💋 :
kosa lake nn sasa apo tuacheni utumwa kiswahili ni lugha ya Taifa
2026-08-10 19:29:42
11
baraka3011
baraka💫 :
ila watu kwaio imekosewa nini hapo!
2026-08-08 21:23:45
23
didah596
Dijjah fashion point :
Ukute wazazi ndio wameemba liandikwe hvyo maana hatujui school bus ninii😂
2026-08-09 22:41:59
4
olle.samberu
@OLLE SAMBERU :
sasa huyu ndo yuko sahihi kabisa kuliko mtu mwingine anavyo weza kuwaza
2026-08-09 17:58:28
10
berblly.27
Berblly Hb :
😂😂😂..dah, waziri wa elimu hko noma
2026-08-11 13:21:33
0
user6278698005953
Merry Kenneth :
kwan alipo kosea wp
2026-08-10 08:09:40
2
elena.kimar.o
Elena kimaro :
kwaiyo ulitaka paandikwaje
2026-08-10 13:31:51
0
kondekhan
KONDE KHAN :
UNGEIPOST WHATSAPP INGE~TREND SANA
2026-08-09 21:23:16
0
israelyog
NDAGA :
jaman tusome
2026-08-09 12:08:04
2
kijiko62
kijiko :
haina mmbo mengi
2026-08-11 08:23:46
0
nimuf33
Nimu :
Nimefrahi kuona hili, kuendeleza vyema lugha yetu ao waengereza hawaandiki magari yao kwa lugha yetu
2026-08-09 18:08:05
3
mrs.ngoda1
mrs ngoda❤️❤️💦 :
nashindwa kueleewaaaa😂😂😂😂
2026-08-10 21:16:04
0
bisco_supernatural
bisco_supernatural :
sioni kosa hapo, labda kama ulitaka "wanafunzi" badala ya "shule".
2026-08-09 21:52:32
0
domiey15
Domiey❤️ :
Jmn 😅
2026-08-10 21:13:00
0
mkingafighter
MKINGA FIGHTER💪 :
mbona iko sawa
2026-08-08 16:32:14
10
king.chriss.10
king chriss 10🤴❤🌍 :
tupo mbele ya muda 😂😂
2026-08-08 16:15:31
1
eagle_mindset6
𝗳𝗴 🦅 :
Kwa maraa ya kwanza nimeona Kwa kiswahili😂
2026-08-11 11:09:45
0
western_prince
🦁CLEVO KHAN🇹🇿 :
Kwan School bus Kwa kiswahili Nini au na mm nikasome
2026-08-10 20:56:36
0
mwanahamishassan81
mwana Hassan :
gari ya shule
2026-08-10 20:39:12
0
james.mata06
James prosper othuman mata :
kwani kakosea nn si gari la shule.
2026-08-10 12:09:07
1
usergambagraphics
GAMBA GRAPHICS :
shule ya serikali
2026-08-08 20:45:49
0
To see more videos from user @mr_kasamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About