yani nilichomuelewa babu hatak kukaa tu kwa watt wake anataka akake kwake
2026-08-06 04:33:59
104
angelbeauty :
Hahaha jaman Wazeee hawapend kukaa kwawatu wakizeeka wanakuwa kama watoto 🤣🤣🤣tuwapende tuu
2026-08-05 14:05:02
69
chaggagirltz :
uzur uchagani wazee wanajua kiswahili
2026-08-06 04:05:08
59
Bieber Prince :
mzee mkarimu kabisa then ni mkweli kabisa yani ata pesa ataki
2026-08-05 15:43:08
48
user7901613744448 :
wachaga hatunaga shida ndogo ndogo, hua hatupendagi zarau, mchaga mmoja ni sawa na watu elf kumi wa dar☺️
2026-08-07 04:51:29
45
Fanuel edward :
unaweza kufika nyumbani kwa mtoto wake aibu ikakushika wazee awataki kukaa kwa watoto mfano mimi naishi na mama mzazi anamiaka 100 lakini inafika wakati tunafunga geti na kufuli akitoka maneno anayo sema kwa majirani una mnunulia soda akimaliza ikatolewa chupa ukaja kumuuliza leo wapekupa soda ataapa mungu ana mwaka ajapewa soda
2026-08-06 05:07:01
44
officialshaky :
mbn kila mtu anamlilia shida uyo broo😂
2026-08-06 01:41:37
36
Manu :
hana shida na hela anataka kwenda kwake tu
2026-08-06 07:39:18
31
mosachaki :
woyooooo wachaga hoyeeeee hatuna shida ya chakula sisi
2026-08-06 05:10:18
20
🦋gracey-pop🦋 :
😂😂 kama babu yangu hataki haya mambo ya mjini anataka achunge boma yake rombo
2026-08-07 20:57:25
17
Tripplegcake🌹🇹🇿 :
🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri tuliishi nabibi yetu ana miaka 100alipo kumbuka kurudi kijijini alikuwa anatoroka anaenda mpaka kijiwe cha bodaboda anawaomba wampeleke kijijini 🤣🤣🤣unashangaa tu unapigiwa simu njoo umchukue bibi yupo hapa kijiweni 🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 05:40:14
17
Gadios Mangana :
huyu mzee anaakili kubwa na dhamira nzur,sema huyu jamaa kashindwa kumuelewa sababu uwezo wake wakufikir mambo sio mkubwa angalia mzee anaongea kingine yeye anasema hujanywa chai.anataka kumpa pesa,na badala kumsaidia anarusha kwenye mtandao
2026-08-07 00:00:20
17
Richard Khagoda :
utamwambiaje wee Mzee vipi? ungempa heshima yake kwanza. Shikamoo!
2026-08-06 18:51:25
15
user3419217477679 :
kaka nlikuwa naomb unisaidie laki tano Niongezee kwa biashara yangu
2026-08-05 13:38:32
15
Nailes moris :
Mi naomba elf 10 tu kaka nikanunue nyama nile na wanangu
2026-08-05 19:17:53
15
Sophia Njeru :
njau msikilize Mzee anataka kurudi nyumbani ana maana yake 🥰🥰
2026-08-05 23:32:43
15
kng :
mzee anahekma san amekata kupokey hela saf san
2026-08-05 21:08:58
14
Momly :
Hatak ela uyo hana njaa anataka kwenda nyumban kwake adi huruma jamn wazee hatakagi kukaa kwa watu
2026-08-06 04:03:59
13
Apostle Goodluck wa Yesu✝️ :
Kazi yako ni njema sana kaka Naomba uni nunulie sipika ya kuhubiri injili na MUNGU Azidi kuku bariki @mrmapesa
wanao penda nipewe Spika Like 👍 hapa
2026-08-05 22:47:12
12
Officialmagamboidoya259 :
Nilichomuelewa Mzee anataka kwenda Rombo lakini watoto wanamkataza kwenda ndo maana alihitaji msaada ili aende Rombo
2026-08-09 09:03:56
11
Miss💒📖📖📖C :
Mimi ninae nyumbani mama angu kama huyu unakutaa anaamka analia unamuuliza shida nini nataka kwenda kwangu nyumba yangu inaaribika hapo kapata stroke ata kuoga awezi unamuuliza nani atakuangalia kule anasema majirani zanu wakati huo huo majirani kabla sijamchukua niliwaomba wamuangalie kila siku nilikuwa natuma elfu kumi kwa anae muangali wachaga wanakuambia akuna kazi ya bure yani hawa wazee wetu wakipata nafuu kidogo wanataka kwenda kwao bila kujua wanatutesa watoto maanaakisha rudi kule kutoa uduma mara mbili mbili ukimtafutie mfanyakazi nimkali mpaka mdada anasema mimi apa sijui wanatakaga nini jamani saivi nakazi ya kubembeleza kama mtoto namnunulia vizawadi kila siku ili atulie wapi bado nimkali sijui ata nifanyaje maana cha kumshukuru Mungu anaendelea vizuri maana tukiwarudisha nyumbani pia ni lawama watuurumie watoto tunaangaika nao awaoni hilo
2026-08-06 07:35:37
9
linda :
kachoka kukaa kwa mtoto mtu kwake kawamiss mabest zake ujue
2026-08-07 11:49:28
7
ANU cosmetics :
niko na bibi yangu ana miaka 100 anatoroka hivi hivi mung wangu hawapendi kukaa mjin kabisa anasema akienda kwake hawez kukosa mtu wa kumsaidia lakin ukimwangalia hajiwez kabisa
2026-08-05 22:38:55
6
user7057190581619 :
cjui kwnn watu wakizeeka ukiwachukua kukaa nao lazima wakumbuke kwake na adai kupelekwa aondoke ata km anyanyacki.ata bibi angu ilikua anataka kwake
2026-08-05 21:57:45
6
Aisha Msangi :
wazee hawataki kabisaa kukaa kwa watoto wao mjini wanataka wakae kijijini wanatorokaga wakiona hawarudishwi nyumbani 🤣🤣
2026-08-06 11:44:46
6
To see more videos from user @mapesa966, please go to the Tikwm
homepage.