@bongofive: Ikiwa leo ni siku uzinduzi wa Nyenzo za utekelezaji wa Dira ya 2050 pamoja na kushiriki katika mkutano wa mazungumzo maalum na sekta binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira hiyo. Mfanyabiashara maarufu wa Arusha Wilbard (Willy) Chambulo maarufu kwa jina la Kaburu wakati wa kutoa mchango kutoka Sekta binafsi upande wa Utalii ametoa mawazo mazito kuwasilisha kwa Mhe Rais Samia. Je, unampa alama ngapi Chambulo kwa Nondo zake mbele ya Rais Samia??