several times when am going through this, I use to listen Gospel 🎶 that will encourage me and gimme a power again,
so I thank God that I was doing something right but I didn't know that was right but am glad that was right☺
Thank you sir for a great lesson 👍 👏 🔥🔥🔥🔥
2026-09-02 19:07:38
4
Asante Bilanda :
jambo jingine Fanya mazoezi malaini mfano kuruka kamba na mengine
2026-09-03 16:16:38
1
Sophia's M :
Me nikiwa ktk hali hy napenda kusikiliza muziki hs ile ya gosper ya kusifu nacheza na pia kuangalia Movie so najikuta nakuwa sawa
2026-09-03 16:33:08
1
STONE TIVU :
daah weeeh !¡!! acha tu😔😔😔
2026-09-02 15:53:41
1
Jumaa :
Muheshimiwa nakufuatilia sana uko vizuri, ningependa kukuongezea kitu hapo mziki kwa Muslims wanaofuata vizuri dini Yao mziki kwao ni haram na wanapousikia wanaumia ndani ya nafsi zao kwani wanaimani unawatoa ktk msimamo wa dini Yao, jambo zuri kwa aina hii ya watu ni kusikiliza qur-an badala ya mziki.
Ahsante
2026-09-03 07:18:08
3
zee ♊️ :
machoz yangu yameenda na maji kama samaki
2026-09-02 19:23:40
1
user4956020672983 :
Nahisi umeniongelea mimi mkuu nashukur kupitia neno lako nitabadilika
2026-09-03 18:36:31
0
ARF ABDI :
mm ndio niko kwenye hiyo changamoto
2026-09-02 19:14:08
1
@st,plan :
sawa kabisa bro Kwa elimu hii hakika ni chanzo Cha maendeleo ktk mindset zetu GOD preserve you in your right content.....
2026-09-01 20:26:26
2
REYG GLAM TZ :
nakumbuka kuna nyakati nilipitiaa kiukweli kuna mtu alikuja akanilazimisha anitembezee na kweli alivyonitoa nirudi nimekuwa mwepesi, so hii point ya kutoka ni sahihi kabisa.
2026-09-03 16:32:41
1
GINNA :
😂😂😂😂😂😂 machozi yamenda kama samaki jaman
2026-09-03 09:28:02
2
Traveler :
jamani kwani uyu ni yule waziri wetu au ni mimi napigwa na kitu kizito uku🤔
2026-09-02 16:20:56
2
Teacher Anthonia :
👍👍👍
2026-08-17 13:14:59
1
Suzy daudi :
🙏
2026-09-02 09:52:52
1
its_toms5🦁✨ :
🔥🔥🔥
2026-08-08 10:18:05
1
seifutatu :
🔥🔥🔥
2026-09-02 08:22:50
0
ELIZABETH MKUYULI🤍 :
maisha marefu kwako @Joel Nanauka tuendelee kujifunza kupona na kusaidia wengine
2026-09-03 15:26:56
1
To see more videos from user @conny_fx, please go to the Tikwm
homepage.