kifurushi cha Azam ikiwa wao wame dhaminiwa na Dstv
2026-08-05 20:22:09
34
Tz_boy_cow :
Cha azam tv 🙌😁
2026-08-05 15:24:32
19
Ashqueen💙🦋 :
Really👀,What's this 💀 ???
2026-08-06 07:08:27
7
emanuel mgalatia :
hahaha aiseee si mchezo
2026-08-16 14:09:30
6
BIGDADY🌍 :
Wakwangu❤️❤️
2026-08-12 05:52:29
6
PAPPYツBROKEN❤️💔 :
Me imenikuta kudet na mtu ambaye simpendi 😂 muda wote linaniangalia usoni 😁. Afu linanambia nikiss apa 🤣🤣🤣
2026-08-07 18:11:29
6
kondankilha accessories :
sema kipotoshi unajua mtu wangu
2026-08-06 05:22:58
18
Ayo_PhD :
huyu jamaa ni best all the timeeee🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 23:13:22
11
Alhaji :
Na neno Azam lenyewe likakatwa lisisikike😁😁
2026-08-07 11:48:44
12
PAULO ✅️ :
kifurushi cha azam TV 😂😂😂😂na aliyezamini ni DSTV 😂😂😂😂
2026-08-05 21:52:38
13
lay_Chado :
jmn ach bhn
2026-08-05 15:44:55
9
jescamajani937 :
chezea Azam ww 🤣🤣
2026-08-05 15:50:02
7
abyzo :
matangazo ya Azam karusha kweny dstv😅😅😅😅😅
2026-08-10 09:41:49
5
bashiru :
huyu jamaa anajua
2026-08-05 18:17:43
11
moh'd :
Kwani wadhamini wao wanasemaje , tupate matangazo Kwanza studio😂😂
2026-08-06 07:13:16
8
L :
Ili jamaa ni linajua 😂
2026-08-17 04:29:51
5
kmgroupmedia :
Azam kazidi moto
2026-08-19 22:19:46
5
Last born.009 :
Biashara inajitangaza
2026-08-11 22:01:24
5
Mr.Msolla III :
ila mwamba wa nyanda za juu unajua sana
2026-08-16 19:09:08
3
khadija said :
ukisikia ajar kazn ndo hii
2026-08-08 13:00:14
4
Free Six :
Vijana wengi tuna hofia kuona kwa sababu *tuna dhani mke atatu ongezea matumizi yatakayo tucheleweshea* mafanikio. Kumbe Kuna wakati atufanikiwi kwa sababu tunakosa maombi na baraka za mke (Mathayo 18:19) Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
2026-08-11 19:13:41
5
Veronica🥀🥀 :
hahahah
2026-08-06 06:05:18
6
To see more videos from user @watubaki_, please go to the Tikwm
homepage.