@dereva.makini: kama utani vile Leo ndio kaingia kwenye nyumba yake ya milele

dereva makini
dereva makini
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 15:09:57 GMT
14705
741
42
15

Music

Download

Comments

abby59449
abby :
daaah leo ndio nimeamin sasa jmn it's so painful 😒 😭😭😭 jiran
2026-08-05 15:35:53
0
sky94565
sky :
yaan nimeumia huyu Dada bas tu juzi juzi tu nilipaanda hii gar kutoka morogoro mwanza Dada alikua anaongea vizur huyu,ila Dereva alitupeleka Les Sana hakuna kupita hotelin wala wap moja kwa Moja had mwanza na njaa yangu
2026-08-05 20:59:10
2
zelasha7mwasongwe6
zelasha Mwasongwe :
simjui ila uyu baba ameniuma mno😭😭😭
2026-08-05 19:56:15
3
marry.elias.buga
marry elias buga :
kazikwa wap ndgu yetu jmn
2026-08-05 19:51:50
0
gebo1586
G :
Mungu wetu wa mninguni amuweke mahala pema peponi
2026-08-05 17:04:09
1
yasinta.eustus
Yasinta Eustus💫 :
miaka mingi sana umefanya hii kazi Yani kk masumbuko sikutegemea kama ndy ingechukua roho Yako kwa udhohefu ule sijui imekuwaje Yani natetemeka mm Bado nakosa Cha kusema.😭😭
2026-08-05 21:18:09
0
ma.fraznah
ma fraznah :
Apumzike kwa aman njia yetu ni mmoja
2026-08-05 20:24:38
0
keflinpeter
Keflin Peter :
polen sana kwa msiba huo
2026-08-05 20:38:27
0
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
MTU WA WATU R I P MZEE WANGU MASUMBUKO KANIUMA SANA 😭😭😭
2026-08-05 21:34:34
0
winniekessy8
winniekessy8 :
Poleni sana
2026-08-05 20:44:02
0
merycioz
merycioz :
Apumzike kwa amani zote njia moja
2026-08-05 20:36:43
0
dinakaiza
Dina kaiza :
polen san😭😭
2026-08-05 16:21:32
0
norahsteven137
Mrs Leo ♌ 🇿🇦 :
😭😭😭polen
2026-08-05 15:18:43
0
bibi.milen0
bibi milen :
😴😴😴😴🤔🤔🤔 haya bwana sina chakusema kwakweli mungu awlaze nahala pema kaka,nawengine wote walopatwa navifo hv,🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
2026-08-05 20:56:03
0
rebekajames92
Chibby ❤️❤️ :
Jaman ni huzuni 😭😭😭
2026-08-05 19:53:00
0
user2436268351272
Karagwe finest tz, :
Daaah poleni San ila kipekeeh nimeumia San
2026-08-05 16:47:05
0
user67983828248121bajuta
PENDO🥰🥰🥰🥰🥰 :
dah tr 1 jion ulisema mdg wangu kesho ntakuwa dar kumbe ndo ulikuwa unaniga pumzika kakangu
2026-08-05 19:18:15
0
tadeiteshat2
tadeitesha :
poleni sana 😭😭😭😭😭
2026-08-05 17:38:23
0
januarymudugo
JANUARY🇹🇿🚁 :
Daaah inaumaa sana😭😭😭ghafla ivii
2026-08-05 15:23:25
0
abdulnasaabdi
wali nazi :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mwenyezi mungu ampumguzie azabu za kabri mjombaangu
2026-08-05 15:40:28
0
gabb3360
lizzy Gabz🥰🩷🦁 :
Apumzike kwa Amani 🙏🏼
2026-08-05 16:09:54
0
mussa.joness
Mussa Joness :
poleni sana kwenye kpnd hiki kigumu
2026-08-05 22:08:24
0
user5661042443678
natasha :
masumbuko www uneniumiza jamani...sikuwah kujuwa kqmq utakuja niumiza namna hii😭😭😭😭😭😭😭Allahuyaalam.......mimi nani nipingane na mwenyez mungu..
2026-08-05 16:20:17
2
betinarichard75
mama p :
nayoaya majina jamani
2026-08-05 16:18:28
0
emanuelmush1
Emmanuel_Mushi :
Dah Pumzika kwa Amani kaka
2026-08-05 17:45:57
0
To see more videos from user @dereva.makini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About