DADA leave him as for me im gona lieve him coz l dont want that discrimination any more hadi sasa sinaga mtoto
2026-08-06 05:54:47
0
Salha :
ila wanaume kikubwa anakupenda kwishaaa
2026-08-06 03:09:33
3
ctyamiry :
Mm sijapata lkn siombi sanaaa nikafosi nikaja kupata mtoto ukakutowa roho au akakukata mikono silii Nashkuru Alhamdulillah nitapata kesho kiama malipo mazuri
2026-08-07 05:19:23
2
neema :
rihama my sisy mshukuru Mungu unao watoto ambao ulizaa na mwanaume mwingine ok umeolewa na mwanaume mwingie hujabarikiwa kupata mtoto kumbuka unavo umia wewe na mwenzio pia anaumia hivyo hivyo japo wenzetu hawalii anahitaji mtoto na kama hana mtoto ujue anaumia zaidi maana wewe unao mim nilipitia hiyo situation nikamuacha aende akazae tu kuliko kumpotezea muda asije akafa bila kuitwa baba ni kweli inauma lakin ukweli ni huo furaha ya ndoa ni watoto km hawapo amani ni ndogo sana
2026-08-06 09:18:29
3
Chichi's :
wanaume hata km hujawakosea tokea wameubwa hawajulilani wanachotaka ukizaa utachitiwa usipozaa pia Ya Rabby nipe ujasiri mm