Huyu ndio anapaswa kuwa malkia wa nguvu sio hao wengine.
2026-08-05 17:27:00
76
solomonbiseko :
how is it possible tan 28 per day almost 10000 Hens
2026-08-05 18:13:13
7
🦋It’s me♊️🎀 :
One day yes
2026-08-05 19:30:51
0
Tuddy😎 :
tani 28 ?
2026-08-05 18:00:18
1
gee_girl_HOME DECOR :
afu kuna pipo zinagombea mbaba😅😅
2026-08-05 21:46:27
1
Victor In God# :
tuwe makini na kilimo cha kisasa maana tunajimaliza
2026-08-05 18:25:31
1
Dalali Bariadi Simiyu 🏠 :
kwenye tani nmetupiga
2026-08-05 18:20:11
1
Sone :
tani 28 kwa siku?,
2026-08-05 18:00:10
0
Omalicha🫶🏻 :
Malkia wa nguvu❤️
2026-08-05 17:33:17
4
allymsellem :
anapatikana wapi
2026-08-05 18:16:06
1
havingfun2601 :
GO GIRL
2026-08-05 17:18:35
3
Soso :
Kiukweli ajira zinanyonya sana watu..ila ni addictive, watu wanashindwa kuziacha. Lakini kiukweli hela ipo kwenye shughuli binafsi. Lakini kwenye kujiajiri kunahitaji upeo mkubwa sana, hard working na nidhamu ili utoboe, kitu ambacho wengi wanashindwa kufuata hizo principle.
2026-08-05 20:37:09
0
samwel :
nanunua mayai pia thafhali nisaidie namba ya huyu mama
2026-08-05 19:38:46
0
@uniquelady❤️🥰 :
Nitani 28 kilaaa mweziii sikizeniii vizuriii na. Inawezekanaaa kuzalishaaaa kuku 10000 kilaaa mwez coz. Anaingiza. Kuku elfu 26 sasa kwann asiuzeee tani 28 kwa mweziii 😂
2026-08-05 18:27:23
5
MAGIDA HERBAL CARE :
hakika
2026-08-05 18:06:45
0
rhumba :
kuna angle huwa wanairuka...sasa kurupuka 🥺
2026-08-05 19:22:13
1
Soso :
aliyeandika heading hapo naye kachanganyikiwa 😁
2026-08-05 20:31:27
0
user1027017447894 :
Uyo ni tajir nyie uwo mrad sio mdogo mtaji wake apo sio mdogo 😁😁😁
2026-08-05 18:48:54
2
Awema Peter94 :
Mbona saut ya dirala😂
2026-08-05 18:30:48
0
Freedom font PH :
unameza mate ukiwa wapi
2026-08-05 18:49:06
0
isaaczephania :
Mbn mi huwa nikifuga wanakufa
2026-08-05 20:06:30
1
Mrs….😍😘 :
Anapatikana wap
2026-08-05 17:37:40
0
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.