@haliyahewaonline_media: " WAZIRI ALIYETAKA KUMTENDA ASKOFU MABAYA KWA SABABU YA ASKOFU KUHUBIRI UKWELI NA KUKEMEA DHAMBI " #catholic #viwawa_haliya_hewa2021 #viwawahaliyahewaonline_media
Mtu akifa anayarudia mavumbi siku ya kufufuka ni Yesu atakapo rudi tu tena ndipo wafu watafufuka na kwenda mbinguni hakuna mtu anaye kufa na kisha kwenda mbinguni nakataa Hilo ni fundisho la uongo Yesu peke ni ufufuo na uzima.
2026-08-09 08:10:50
3
White_international :
najivunia nimezaliwa kwenye Moja ...
2026-08-07 10:12:50
15
Juliana Mbakkileki :
TUMSIFU YESU KRISTU, Padre Kessy, Naitwa Juliana Ernest Mbakileki, toka Parokia ya Mtonikijichi, ni Mjane wa Miaka60, Nimetapeliwa na wengi, kuanzia Ofisini kwangu, ambako nastahafu mpaka Ndugu na Marafiki, na sifanikiwi ktk biashara pia NAKUFA NA Njaa, SIPATI HELA, NAOMBA UNIOMBEE HURUMA YA MUNGU, NIPATE HELA.
2026-08-11 15:34:09
5
It's Mtanganyika :
hata Mimi nikifa nikaenda toharani hata kama ni miaka elfu siombi kurudia duniani maana huku SIO!
2026-08-06 04:38:25
6
Judey🇹🇿🇯🇵 :
RC imejawa na historia nzito mno
2026-08-06 08:42:21
22
Mama Ared :
fr asant Kwa mahubir
2026-08-31 19:12:34
1
TESTAR :
iyo ni muvi gani
2026-08-20 13:01:48
1
dellacruz :
hivi kwa mahuburi haya ntaanzaje kusinzia
2026-08-15 08:28:21
2
Rose Dagras :
hii stori imenifunza kwakwel
2026-08-05 21:01:26
14
Eliza2 Massawe :
🙏🙏🙏 Hadi mwili umesisimka. Hakika kwa imani tutashinda, hakuna gumu mbele ya M/Mungu
2026-08-06 03:40:45
12
geoftihacl 🇹🇿🇹🇿 :
Umetupiga hapa 😁😁😁
2026-08-10 16:03:02
1
norbertnatalia................ :
Ni kweli tuliadidhiwa na mzee mmoja 2009
2026-08-05 20:30:15
12
SalesMan_Mega£ :
Kumbe dunia chungu pietr mile aligoma kubaki
2026-08-07 04:41:23
5
jimmydigitalk :
2026-08-26 15:36:01
0
kihedu :
leo ndio Simeon padri kanifundisha imani kubwa hadi jirani yangu wa kiislam kakubali huu ushuhuda
2026-08-09 08:27:26
3
Judey🇹🇿🇯🇵 :
hata mi mara ya kwanza kusikia kisa hiki ilibidi niende google kuconferm but Meta AI anasimulia vzr zaid kuliko google
2026-08-06 08:29:41
5
Eugesia :
MUNGU yupo kwel kabxaa jaman, asante Father kwa mafundisho yako mazuri MUNGU AKUBARIKI
2026-08-18 03:09:24
1
M :
Ni kweli jamani, mie nimeenda hadi google nilikuwa Thomaso😂😂😂, Sema kuna mengine nimejifunza zaidi google, hata kifo chake t muujiza. Mungu kamwe hamuachi anaemtumain na kumtumikia !!! Thanks be to God🙏🙏🙏
2026-08-06 04:41:23
2
glorystella :
Mafunzo yako Baba Kessy ni 🔥
2026-08-06 06:22:02
2
Nshoma Juke :
Mungu akiamua kufanya yake
2026-08-06 04:34:14
1
ibarwe mng'ashini :
ni kitu kilichotengenezwa kama ufufuko wa Yesu Resurrection is not a historical event.
2026-08-09 17:19:47
0
My revenge :
jina lake ni tukufu milele hakuna wa kupingana nae
2026-09-23 12:19:09
0
it's Gwakisa Mwakyusa❤️🔥 :
mpaka raha
2026-08-05 20:07:48
0
To see more videos from user @haliyahewaonline_media, please go to the Tikwm
homepage.