@vennystore_official: NATURE DETOX - 10,000 tu Haifanani kabisa bei yake kulinganisha na ubora wake. ✋Kama una vitundu/ pores kubwa kubwa usoni tumia Nature detox inaminimize pores ✋Kama una mafuta mengi sana usoni kama kitumbua, uso una meremeta hata kama hujapaka kitu, nenda kwa wakala upate hii detox ✋Kama wewe una vitu / vyeusi puani na chini ya kidevu yaani “whiteheads” na “blackheads” hutakiwi kabisa kukosa detox ✋Inavuta sumu ya vipodozi nauchafu usoni na kuacha ngozi ikiwa safi na yenye afya ✅matumizi yake. Tumia mara mbili hadi tatu kwa wiki, Unaweza kuchanganya na maji, rose water au aloevera gel. Kisha unapaka tu usoni bila kuscrub. Unasubiri dakika 30 kisha unanawa na maji na kuendelea na skincare routine yako Zipo kwa mawakala wetu wote 📞☎️0716181723 #creatorsearchinsights #vennystore #naturedetox #oilskin #whiteheads @Ms_tabbygreen @theritualsbydidi @nenee_beauty @ADELINE STORE @QASIL POWDER ARUSHA @ONCE CHOICE @Mariam💚