Kuna mama alinisaidia pale hospital ya Urambo alikua anapika chakula pale namuombea mema sijawahi onana nae tena nililazwa nikiwa mwanafunzi
2026-08-06 09:34:12
67
beatrice beatrice :
kumsaidia mtu ni akiba na inasaidia hadi kizazi chako
2026-08-06 18:23:39
42
PASHAU FASHION :
WEMA ASAHV UNAOZA NDUGU ZANGU AMTA AMINI
2026-08-13 14:58:51
7
agnesssandy921 :
wema ni Akiba
2026-08-05 21:06:18
40
sajenti man :
hakika family zangu 💯💯💯
2026-08-05 17:23:39
19
Glory Sadick :
kuna mama alinisadia nilikuwa natoka safr naend mwanz gar lilibka njian sku nzm tukfka mwanza usku nikaenda kulala kwako Mungu amtuze mama frola
2026-08-08 19:08:37
13
Gymar mtumbati :
sina hamu na walimwengu saiv,unawafanyia hisani wanakulipa nuksan,sijihangaishi na watu saiv
2026-08-13 18:06:55
0
Godfrey plumbing TZ :
kuna brother alinisaidia Zanzibar bro IPO siku
2026-08-11 08:11:24
5
KELVIN🗨 :
is it true bro...
2026-08-08 08:41:02
2
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-08-06 04:43:02
3
Aggy4 :
wema unalipa🥰
2026-08-06 06:44:57
8
John Joseph :
kuna jamaa alinikutanmeshika kitabu cha TCU nachgua course, nkawa sielewi jamaa akasema dgo soma SHIPPING, akanielezea umuhim wa cose na positon duuh, Aasee alipo mungu amuongoze.
2026-08-13 09:35:50
3
Lucky G (257) :
Yeaaa
2026-08-09 14:25:28
1
Jumanne Memba :
sahihi
2026-08-05 18:04:10
6
Rama Mustafa :
safii kaka
2026-08-06 11:30:29
5
user3690036931624 :
nice
2026-08-09 18:37:31
1
user6725341991073 :
duh kaka umenikumbusha mbali sana sana sanaaa kunamwana mmoja nilimsaidia ishi Moja naomba niiweke public kiukweli jamaa alinishukulu kinoma kiukweli siku sio nyingi mambo yangu yalikuwa kamselelekooo wema auozo
2026-08-05 21:08:21
5
baraka :
kweli mkuu ipo mkuu
2026-08-08 16:02:26
2
Bizostar💫 :
unaposaidia kwa moyo mmoja.! beleive Me MUNGU anafanya na kupitisha malipo yake..!
bro Wema ni hazina ambayo haitaozaaa.
2026-08-07 11:33:19
9
j-bawa :
You're totally right
2026-08-06 16:27:11
3
imani :
♥️♥️♥️🥰 hakika
2026-08-06 09:21:35
2
Sina Miya :
da umenifundisha kitu namm nimejifunza apo
2026-08-07 11:12:36
2
Hancyhamisidaudy :
waropokaji tupo
2026-08-09 18:08:54
1
Mama Ney :
kwari kabisa
2026-08-07 18:42:29
1
Silva sky :
kweli kabisa kaka
2026-08-06 06:57:24
1
To see more videos from user @the_seeker68, please go to the Tikwm
homepage.