@mbashatv: namna ya kupata nakala ya kitambulisho cha taifa NiDA #serikalibora #nida #rita #viral #mbashatv

Mbashatv
Mbashatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 16:52:16 GMT
54297
1022
31
281

Music

Download

Comments

marguede
djuma021 :
karibu Tanzania ambako mtu kupata National ID ni lazima uwe mteja😂😂
2026-08-05 18:37:56
9
thepeakautomotive
Peak Automotive :
yaani mnatuita wateja kwenye nchi yetu kweli?💔🥲
2026-08-05 18:46:38
11
tausi.abdala7
cute t😍 :
na muharakishe kutoa vitambulisho mapema mana mtu anakaa mwaka na bd kitambulisho hakijatoka kwel
2026-08-05 20:30:57
1
dadusiga
Dr siga :
vp cc ambao tuna namba pekee sasa miakA 2
2026-08-05 21:29:06
1
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
vitambulisha vinafutika kama lisiti ya EFD
2026-08-05 19:16:10
0
mwasitimussa749
mwasitimussa749 :
kk nmepoteza namba yanida sikuwahi kupata kitambulisho nilikua na namba tu sasaimepotea na namba sikumbuki nafanyaje
2026-08-05 21:11:47
0
hitmaker442
Hitiler23 :
ukitaka nida napo unafanyaje sasa
2026-08-05 21:28:18
0
user425440116996
osjjj :
wateja muko wapy?
2026-08-05 20:22:34
0
user8621614748101
user8621614748101 :
nakwawale vilivyokosew plz weken utaratbu
2026-08-05 20:03:40
0
jumaakupeh262
jay clever :
wateja tena dah kweli mmetuzoea wallah 😂
2026-08-05 20:18:07
0
mudy.thomas8
Mudy OG, :
tumeshakua wateja duuh
2026-08-05 20:10:26
0
joseshao01
Joseph C Shao :
mmmmh bure kabisa mm changu kina expaire date.
2026-08-05 20:04:40
0
ptv9853
V Mjeda :
apo tayar ishakua biashara au sio?
2026-08-05 19:29:41
0
davidkinogo
Dr David Kinogo :
mtupe vitambulisho tu ndugu zetu
2026-08-05 18:26:01
0
mkbalcony
Ibrahim :
Kwani kuna nida wakuu sielew ndo natoka jela hapa
2026-08-05 20:10:26
0
official_jedatz
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥_𝐣𝐞𝐝𝐚𝐭𝐳 :
mngeweka na bei kabisa watu wajue 🤣😂😂 sio kuitana wateja kimya kimya
2026-08-05 19:53:12
0
user2900615082415
paul :
je kwa sie majina yalio kosewa na vitambulishi vilivyo potea
2026-08-05 17:03:50
0
rashidmadebe247
sakandechiwa :
NIDA.mnazingua hasa kwa watoto ambao vitambulisho.vimerekebishwa,wakitaka.kutumia.lazima uweke NIDA iliyokosewa.ilinkwendankuona iliyosahihishwa.Hili si sawa kwani sio.wote.wanauwezo.wa kuingia kwenye.mifumo.yenu
2026-08-05 18:26:22
0
user4530676902714
Sarah mosha :
kaka Mimi nimepoteza kitambulisho Cha nida na sikumbuki namba yangu nafanyaje?
2026-08-05 18:34:33
2
joe_charlz
JOE :
Mteja 😏
2026-08-05 19:54:14
0
mr.i.t3
MR I.T :
ngoja nikajipakulie
2026-08-05 19:03:50
0
kacha7790
kacha :
🥰🥰🥰
2026-08-05 20:53:41
0
To see more videos from user @mbashatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About