tuombage rehema kwa bwana pastor mbinguni tunataka kwenda hata kama ni wambea tusaidie rehema
2026-08-05 19:35:03
2
mamy liyah :
Kweli ni wambea sana sema wapone
2026-08-05 18:01:19
1
Kocson Muno :
daaah umeongea ukwel sanaa
2026-08-05 18:24:24
1
zenoh@! :
amina tpone kwajina la yesu wanaangalia uzinzi Tu ndo zambi zingine so zambi kwakwer tpone
2026-08-05 19:22:27
1
Diana Emmanuel :
aminaaaaaa ubarikiwe
2026-08-05 18:04:41
1
DEBORAH COSMETICS :
Ni kweli kabisa Mchungaji
wengi wamerudi nyuma kwa sababu tu Kuna watu waliwavunja moyo😔
2026-08-05 18:06:57
1
vicenty glory :
amina umeongea ukwel kabisa .kanisan lipo wapi mm niliamuach kuacha ata kwenda kanisan kwajil ya umbea
2026-08-05 19:16:20
2
Tanxing 🦋🦋 :
Sema baba Tupone
2026-08-05 17:17:13
1
vannesa-john2 :
naloli mtumishi 🙏🙏 ubalikiwe sana
2026-08-05 18:59:41
1
Esther Namuyemba :
Kwer mutumishi 🙏🙏🙏
2026-08-05 19:52:02
0
mwazembe boy fashio :
amina mtumish🥰
2026-08-05 21:27:54
0
Lissa Matayo :
kweli kabisa
2026-08-05 20:02:49
1
pastor Hilda marandu :
Amen
2026-08-05 20:20:17
1
Deborah@27 :
YAAN HII NI KWEL kabisa Mungu atusaidie
2026-08-05 20:23:07
1
Nelson :
Amani neno lako limenigusa mtumishi Mungu akubariki
2026-08-05 21:09:59
0
Brigadier :
kuna watu kanisan wanajiona wao ndio bora yaan wa mda mrefu ko kanisa kama lao.sisi wageni wanatuona kama hatutakiwi.kila siku kupigwa vita ili urudi nyuma dah inaumiza😭😭😭😭😭
2026-08-05 20:30:46
2
ᗪᒍ𝙍𝘼𝙕𝘼𝙆 +255 :
Fireeeeee🔥🔥🔥
2026-08-05 17:40:26
1
To see more videos from user @aliko.mwandelile, please go to the Tikwm
homepage.