@www.johanvia.co.tz: 🔖Kampuni ya Usafirishaji abiria na mizigo kampuni ya Johanvia express inapenda kuwatangazia watanzania wa jinsia zote nafasi za kazi ndani ya kampuni hiyo. Kwa niaba ya mkurugenzi wa kampuni na staff wote wa kampuni tuwatakie Kila laheri wale wote watakaotuma maombi Kwa nafasi mbali mbali za kazi. asanteni.. 🙏 🔖 Imetolewa leo 05/8/2026 na mwisho wa kutuma maombi ni 17/08/2026.. Barua zote zinapokelewa ofisini makao makuu Musoma mtaa wa Nyasho au kwenye email ✉️ [email protected]