ebu jiamin kwenye biashara yako ukinieleza sana mteja anakosa Imani na bidhaa yako
2026-08-07 08:31:28
1
jay22 :
hahaha kariakoo iyo biashara amn niliangalia surual ila bei aliyo nitajia ilikuwa sijaipenda nikamwambia naenda kutoa ela kwann asinisindikize kwa wakala🤣🤣😃
2026-08-08 20:38:44
3
teecollection7 :
Si bora ww mimi nimeingia live masaa 4 nimeongea peke angu hakuna hata wa kuuliza bei 😒
2026-08-06 20:21:32
3
Dories05 :
niuchunguuuu😂😂😂
2026-08-06 18:15:55
2
midecotz :
😁😁😁
2026-08-10 17:34:52
1
To see more videos from user @mjukuuwammole2, please go to the Tikwm
homepage.