Jamani tule tu, tukifuata sana washauri tutakufa njaa...
2026-08-06 02:07:17
6
ibra1975 :
unasema wali na ugali punguza au acha, nikiacha nile nini mbona husemi?
2026-08-06 15:28:40
0
Dismas Kimath :
dada ngoja nikurekebishe ungesema ugali kidogo au wali kidogo me najua ukila ugali kidogo au wali ukila hivyo ule na mboga zamajani ziwe nyingi lakini sio kuacha kula ugali au wali nilijaribu kuacha kula mwili uliishiwa nguvu nikaambiwa wanga umepunguwa wakaniambia kula namboga zamajani nyingi
2026-08-06 13:19:28
0
elizabethkamli482 :
tukiacha Kila kitututakula Nini sasa wayii msituchanye
2026-08-06 11:19:21
0
erick_matey :
Hakuna aliyewahi ishi hapa tuniani, sisi sote ni wageni, tupunguze ushauri jamani, tusile ili tufe? Au unataka tuishiwe nguvu za kiume?
Hakunaaaaaaa!!
2026-08-06 13:46:09
0
nalungwe :
sasa tulenini tuambie chakula
2026-08-05 20:28:16
1
user31455934539733 :
sio umli ni umri
2026-08-06 11:17:55
0
Robert Thadeo :
😳Kama hakuna mtu hataishi milele yanini kujinyima starehe
2026-08-06 07:53:32
1
Melkiory Mao :
2026-08-06 06:12:35
1
Rachide Muemede :
asante
2026-08-06 16:38:34
0
Lucy Shio :
sasa tuakula nn
2026-08-06 06:01:53
1
Anna Lubinga :
tuta kula nini sasa kama kila kitu kibaya
2026-08-06 06:30:01
2
Ginimbi Ginimbi :
Sasa tutakula nini jamani??
2026-08-06 04:30:56
3
user13657930008166 :
sasa mnataka tule Nini jamani
2026-08-05 22:58:25
3
BUNGE.... :
sasa tule nin acha kilakitu
2026-08-06 03:10:39
2
BABALAO :
kabla sjamaliza video,,,haya dada tuambie unauza nn😄
2026-08-06 05:35:39
1
Mameritha :
tule nini ndugu
2026-08-06 06:44:19
1
Rojaskessy :
wafanyabiashara kazini!
2026-08-06 03:21:43
1
maryam :
tulenn Ss maana ndovyakula
2026-08-05 19:14:32
1
Hajrat :
tupe mwongozo wa chakula, basi utunusuru
2026-08-05 20:52:50
1
Juma Ferooz :
Unatufokea😳
2026-08-06 05:00:51
1
Mbwana Lihinda :
tunaomba utupe menye ya kula
2026-08-05 20:17:50
1
clementshamu :
tukiacha kula vitu tutajieni vinavyotufaa kula sio mnasema tuu punguza au acha tufe sana Mwenyezi Mungu ataturpusha na maginjwa yote Amen
2026-08-06 08:34:14
1
To see more videos from user @blood.balance.sol, please go to the Tikwm
homepage.