@sauti.revival_tz: Msidhani tumemaliza... bado kuna kitu kinakuja. 👀🇹🇿 Hiki ni kipande cha mwisho kabla ya kufungua ukurasa mpya wa .Salamu Zetu. Safari hii ni sauti halisi ya makabila ya Tanzania, zikiwa zimerekebishwa na kupewa ubora mpya kabisa. Kaa karibu... muda si mrefu kila Mtanzania atajivunia kusikia salamu yake. #sautirevivaltz #salamuzetu #tanzaniantiktok🇹🇿 #nowstreaming #NewMusic @iam_roon @veko🚛✔️✔️🇹🇿 @Soccer Youths @youngfather255 @wakwamigu Gama @KOA-lyrics 🎶 @Wasafi Media

Sauti Revival_Tz
Sauti Revival_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 18:33:21 GMT
23637
1828
72
78

Music

Download

Comments

kerichojoseph1
krch! :
Asante sana mtanzania🤣
2026-08-07 11:00:40
1
ramsotz01
Mpemba TRUCK OG 🇹🇿🚛 🦺 :
mbona wa pemba husemi chechei kwa heshima itaje chechei 🙏🙏🙏🙏
2026-08-05 19:44:20
6
mbui326
BHUI_JR06 :
Lkn waambaje sio ya unguja ni ya zanzibar hlf sio ya kabila ni salam ya kawaida tu
2026-08-06 03:24:24
2
alexbenard6677
obeydijey :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣tunashukur mm nip tabor lkn ss siomnyamwez itanibid nisalimiee kikwaoo kwasabab y kudumish utamadun asante sana
2026-08-06 18:30:47
2
dullah4242
Dullah?💥💥💥 :
na hii wambaje sio waunguja ni wapemba
2026-08-06 09:17:26
1
singochiefkhan
singo chiefkhan :
wapare sija sikia
2026-08-06 14:55:30
1
kiba.chisemwa
Kiba chisemwa :
wejamaàaaa nibonge la ubunifu ubalikiwe sana ufike mbali
2026-08-06 18:57:51
1
amanemanuely671
Aman Emanuely. :
kazi nzuri sana nimefurahi kusikia salamu ya kinyaturu.
2026-08-05 19:15:18
2
shaiymaa1
one day yes :
bado sijasikia kigoma
2026-08-06 11:03:18
1
twisemc1
twisemc7 :
kuna wanata wanasema mbokile
2026-08-06 11:23:45
2
abdulnasser260
Traore :
Waalagwa Sayuu.
2026-08-06 13:27:09
1
reginacosmas867
Regina Cosmas :
jaman na wasandawe nao wanasalimiana hikyana
2026-08-06 20:06:56
1
nuruharoun1
NovaDimpoz1 :
Jamani kuna sisi wandamba tunasalimiana awije
2026-08-05 19:07:57
1
user6509092199528
michaely mbises :
badilisheni ile ya wameru jmn si konumbuare ile nare mbon
2026-08-05 18:46:18
1
realwahid8
realwahid :
waunguja wenzangu * waambaje? *
2026-08-06 12:40:31
1
elimon7719
elimonjoshuagreen :
sema Mungu amekujalia saut ya kipekee nzuri sanaa
2026-08-06 01:45:44
0
sauti.revival_tz
Sauti Revival_Tz :
Mmetupa upendo usio wa kawaida, nasi tumewasikiliza. Tutarudi na ubunifu ulioboreshwa, salamu zilizorekebishwa, na ladha halisi ya Tanzania.🙏🏽😇🔥🔥🔥
2026-08-05 18:35:28
1
omaryjuma348
omaryjumaomary :
hongera kak nimepata ya wasmbaa
2026-08-06 09:57:12
1
jecah2223
Jesca Massawa :
wajita jamani
2026-08-05 21:14:18
0
amran.hassan01
Amran hassan :
🤣🤣🤣mashallah
2026-08-05 20:00:36
0
user6979245883658
Mollel :
nzur sana ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-05 19:00:03
1
janethmichael946
Janeth Michael :
salam yetu wahangaza nimefulah kweli🥰🥰🥰🥰
2026-08-06 08:36:56
1
ashellymwihambi78
ashellymwihambi78 :
Waoooo nipo nawafuatilia sana hongereni sana
2026-08-05 18:40:10
1
evamartin442
Evelyn bby :
wasandawe mbona husemii
2026-08-07 08:50:21
0
user1263007861021
AZIZAH :
wanyamwezi tujuane hapa mwangaluka
2026-08-05 18:35:51
1
To see more videos from user @sauti.revival_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About