Enzi za mababu hawajaishi kweny huu mfumo wamaelekezo mengi na walikua wanakaa zaidi ya miaka mia moja apa duniani,saivi ujuuzi mwingi na ndo tunauguw hovyo hovyo maradhi yasioeleweka.
2026-08-06 06:04:31
1
Haji Kauki :
shekh hapo aupo sawa kula ni ibada nikitamani unapata dhambi shekh natamani lakini Sina uwezo nacho shekh majaribu hayo
2026-08-06 05:39:31
1
congolais :
upo Lubumbashi wapi niku one nakwitaji sana
2026-08-06 08:26:21
0
Rahma :
kahawa ina esidi si nzuri
2026-08-05 19:32:56
0
Mercedes-Benz Ujerumani :
ukweli kabsa
2026-08-06 13:11:50
0
Generous D :
sisi tukipata viazi ni sherehe💪💪💪🛌🛌🛌
2026-08-06 13:11:30
0
BIG Truck Driver :
As/m alykum Mzee nikweli inapendeza kula kwampangilio huo ila inategemea kipato chamtu napia inategemea nakazi anazo fanya
watu wanaofanya kazi ngumu hawata kuelewa