wacha kelele bwana... mbona hakuna hayo mwanzo mwanzo sasa ameona hatakikana ndio anafanya hayo kulainisha watu wampigie tena. hapati two term na nyumba pia tutachukua
2026-08-06 03:21:39
6
naturalmistake :
Kuna hidden charges
2026-08-06 10:52:28
1
kisulisuli@pekecha :
wee ulienda babaa ama unazungumza tu 😊😊 hizo nyumba unalipa deposit kama mimi walinipa ya 100k deposit na 15100 everymonth for 30yrs na kila mwaka inapanda na 6% hio ni upuuzi staki.
2026-08-06 17:34:10
5
User :
wewe umepata? na rafiki yako shariff amepata?
2026-08-06 05:37:51
4
Kijana mwepesi :
Nyumba zinajengwa na pesa za wananchi watu wanakatwa mshahara alafu baadae tunauziwa hizo nyumba hizo pesa zaenda wapi???
2026-08-07 01:50:49
4
Bafel :
hakim watoka kwenye topic eleza kuhusu nyumba sio mambo ya uhuru na Zamani zilikuwa za purwa eleza kwa kina hakika unafungua mato wengi
2026-08-07 01:21:01
1
Dodi-001 :
Mtalia
2026-08-07 01:13:49
1
Adija Mkenya :
Hizo affordable house ukienda kama mwananchi wa kawaida hupewi wanaepana kwa watu wao kujuana au mpaka hongo
2026-08-06 05:25:52
1
shariffa Ali mohamed :
ziko wapo
2026-08-06 12:25:47
1
free wave :
sikuhizi umepatakazi hiyo
2026-08-08 07:59:45
0
تاج قلبي :
na zile tuna katwa kwa payslip ni vipi
2026-08-08 14:26:56
0
hamisabeid1 :
ndio Hakim nakubali mzee hamis
2026-08-06 03:14:45
0
Genstroment :
fala
2026-08-07 18:10:23
0
dulla boy :
nyumba ipi iko wapi mbona hatujaziona
2026-08-08 14:38:30
0
Omar Rashid :
unaboesha sasa
2026-08-09 05:00:22
0
Mc PapaRazzy💪 :
Swali Ni iyo 200,000 ukijenga yako huishi vizuri?? nyumba iyo iwe Yako titile Ni Jina la Nani??
2026-08-08 13:47:59
0
naturalmistake :
kama bei hiyo ingekuwa kila mmoja angekuwa nyumba
2026-08-06 10:52:17
1
Bint wa bin Athman :
kuna service charge hapo kila mwezi
2026-08-07 08:46:00
0
user3944734151295 :
wewe usitupotoshe bana one term it's real hatutaki nyumba yenye hata ukifa huezi zikwa
2026-08-07 16:03:20
0
mohamed ali khamis :
nimejaribu kununua lakini hainioneshi za mombasa
2026-08-09 17:46:00
0
26267620Mb :
1
2026-08-07 11:23:38
0
team tebee :
mimi c pingi ndugi yangu lakini unapo lipa hii nyumba kwanini huambiwi nyumba yako ni floor gani na hata huambiwi door no ngapi angalau uwe unajua unalipa nyumba waijua
2026-08-07 14:56:43
1
khalda009 Mpenzi :
nataka mm pia nanza wapi??
2026-08-06 05:05:18
0
To see more videos from user @abdulhakim_ahmed19, please go to the Tikwm
homepage.