Na ukiwasumbua wanaenda kutafuta amani wanaume hawaeleweki
2026-08-10 07:59:06
19
ukhty Moza :
jamani mm huu mwezi 4 hatujaonana na ameondoka kwa ugomvi hadi leo hajarud na hanipi huduma yeyoye
2026-08-08 05:27:32
6
BIADY MASHAM SHAM😘 :
ss wa gulf je
2026-08-09 02:54:36
0
SaQuE NsAmY💕 :
Mi wangu anakaa miaka miwili abanihusumia kila kitu kwahyo Hamna ndoa au
2026-08-08 12:06:05
0
Khadija Shosi :
😂😂😂me bs tyr nmeachwaaa
2026-08-11 06:13:44
2
Mtiniko Hamisi :
aya gani
2026-08-06 14:14:13
0
noble :
Mm nimeambiwa nitafute mwanamume atakae nipa maneno mazuri tena ameapa kabisa kisa nimesema naitaji kubembelezwa 😂Allah atupe subra
2026-08-13 07:42:34
3
Salma Nuru :
ni kweli hilo ama ni maneno tu
2026-08-12 15:03:46
0
chimpa :
sio kweli .wengine tunapenda amani hatupendi drama.usumbufu ni hulka
2026-08-08 11:11:06
2
Miss D____🇨🇩❤️ :
Tulio jifungua kwa operation Vpi?
2026-08-29 20:25:21
0
Rukhy :
mume wangu nqomba aione hii
2026-08-12 11:45:07
0
Husna Mataka :
kwani ndoa haiwezi timia bila tendo la ndoa? mfano mtu ameoa kwingine anamaliza shida zake huko..kwa mke mkubwa anaenda tu kwa ajili ya watoto mke mkubwa ameridhika kuishi bila tendo.vipi ndoa ipo hapo?
2026-08-10 20:50:56
1
khaany :
haya ss wanaosafiri kikazi mpaka mwaka
2026-08-12 12:34:45
0
Maryam Majid :
tunakaa mwaka
2026-08-08 19:25:45
0
Princess M :
hahaha mm simpendi ndio simsumbuwi lolz
2026-08-10 21:13:20
0
Santarira :
Sio kweli nampenda sana mume wangu na wala simkeri sababu napenda amani over kero katika maisha yetu
2026-08-08 07:37:21
1
Bint Mziray :
mwezi hauishi lazima kinawaka nakuwa na wivu hatari.
2026-08-08 11:57:15
1
sa :
Akaaaa
2026-08-06 09:23:24
0
zaynab :
je sisi tuliopo gulf na tupo kwenye ndoa hii imekaaje
2026-08-08 13:32:11
0
it's swau🫶❤️ :
yarab 🥺😫 kwaiyo natakiwa kupewa taraka eeh😭
2026-08-22 17:26:36
0
@anisaabubakar :
hee hatari
2026-09-07 18:23:49
0
⚡✨ :
Kama upo mbali
2026-08-11 13:05:33
0
Fedhele Sleyum :
😂😂😂😂 Kabisa
2026-08-06 10:32:10
0
yusrayunn :
na je akiwa safarini kwa miezi hiyo je atoe talaka
2026-08-07 22:20:15
0
To see more videos from user @mrs.l60, please go to the Tikwm
homepage.