jana hakuna Imam hata mmoja alibaki Mskiti huku Kwetu,,
but guess what,,
ibada ziliendelea kama kawaida,
uzuri ni any Muslim can lead in prayers,,
kwanza jana swalatul Maghreb ni mimi niliswalisha,,
2026-08-06 06:55:12
30
DANIEL FADHIL 🇰🇪🇩🇪 :
sheikh anasima mbele ya umati anakiri kwamba alipewa kitu and he's doing it eloquently and giving praises that no one has send him mimi personally on Friday I'm meeting him hapo park road kumwambia ukweli staki fitina kabisaaa
2026-08-05 20:24:42
23
Sully :
wape ukweli hao wanafiki
2026-08-05 20:46:34
22
𝐓𝐋々𝐊𝐡𝐚𝐥𝐞𝐞𝐝 :
absolutely
2026-08-06 06:33:34
1
Zainab mwehaki Mahmud :
no no no hao ni hao wasijaribu hata kamwe
2026-08-06 09:14:13
3
S.D.M :
miskiti haija jengwa kwa siyasa
pali ili jengwa kwa ibada
2026-08-06 02:55:22
15
HEYMAN :
Ule sheikh ata leta mambo ya siasa kwa msikiti tunamtoa kwa msikiti
2026-08-05 19:28:36
18
Jamal kainuk :
wachana vitisho baridi ya gachagua bro
2026-08-06 07:54:50
2
ustadh ashraf :
ijumaa mtu asikuje kusema long term
2026-08-05 20:06:42
18
Shufaah :
Very true I hope wamesikia hii... ONGEZA SAUTI
2026-08-06 07:01:53
3
General marijan :
wakumbushe tena na tena wasijaribu kuleta siasa misikitini hatutakubali
2026-08-05 22:54:28
5
Hamisi kobe :
kabisa wakileta siasa kwa msikiti tutawaonyesha kua msikiti si nyumba ya mtu
2026-08-05 22:02:26
7
Akey :
mashalla tabarakallaa
2026-08-06 07:08:14
1
Eddie :
They were bought for 3k
2026-08-06 05:12:15
0
Farm man :
he wants to do it the way he did with church's these days no one respects church s
2026-08-05 22:57:02
3
AsadunAswad :
Kabisaaa bro waambie
2026-08-06 04:10:50
4
Kivurande :
THANK YOU SO VERY MUCH MY BROTHER FOR YOUR REMINDER
WASIJISAHAU
2026-08-06 09:01:19
1
Rahmuzutul :
bro.Wambie wasikie km ni political wapeleke penye wamekutana na Rais wao juu ya kupewa kitu kidogo
2026-08-06 05:44:02
4
Queen 👸 :
Hata nyinyi mumefikiwa😳😳😳😳😳😳 weeeeeee
2026-08-05 19:33:45
3
BODYGUARD:023:TKN :
leo bro ndio nimekusikia ukitetea uislamu na vile uko na followers wengi sana...bro kando na contents zako please pia kumbuka dawa za dini kwa sababu wakati unatafuta viewers na followers pia tafuta akhera yako nakumbusha tu kwani hakika ukumbusho unafaa waumini🙏
2026-08-06 04:04:07
4
To see more videos from user @selfsponser, please go to the Tikwm
homepage.