Kwenye taaa police ndio wanapokamata asa unasimamaje 😂
2026-08-06 06:03:34
30
emmanuel :
ukweli ni kua bodaboda wanavurugu sana, huwezi kua kwenye njia alafu anapita mtu kushoto ambako ni Blindspot na mwingine anapita kulia kiufupi boda wengi hawajali usalama wao kabisa.
2026-08-06 06:38:31
8
masai :
Sijawahi kuizingatia Sheria pale ninapohisi usalama wangu uko hatarini
2026-08-06 07:18:14
42
masoudissa91 :
kuna watu wanashindw sana kufikilia,iv boda za dar zote zikikaa katikat kama gari mtawai kweny shughur zen?siku mzee wa kaliua wapandishe boda n hao wengine wayaone
Oscar you so smart udereva ni kuendesha Kwa usalama zaid kuliko sheria
2026-08-06 09:35:03
19
JOCHEE TECH :
dereva mzuri ni yulo anae simamia sheria na kusahihisha makosa ya dereva mwingine,,,,
2026-08-06 13:48:33
12
Mentzo :
bro kaongea point
2026-08-10 08:01:23
3
ma men Mousa☠️ :
Osacar we ndugu yetu kabisaaaa🫡🫡🫡🫡
2026-09-27 15:20:25
3
lukuman :
sahihi sana kaka awalinde sana ndugu zetu hawa wanatafuta riziki
2026-09-13 19:10:26
2
RICH 🤑🇹🇿 :
kaka umeongea pointi sana
2026-09-29 21:26:16
5
Mgogo Wa AI :
Sasa hizo Sheria kusimama hapa unakamatwa
2026-08-21 19:35:39
1
daneli :
kweli bodaboda mudamwingine tunaonewa
2026-08-10 10:51:57
1
Yoram Mnyukwa :
oska umetisha sana
2026-09-30 19:46:05
3
Kalemela Instom :
kaka.nikweli osic
2026-09-29 13:59:59
1
user7976253490958 :
umengea kwel kaka
2026-09-22 09:46:49
2
@.K.@ 👊 47 :
💪💪💪💪 oscer
2026-08-20 20:14:00
1
Mustafa Lodi :
edo ww daily miyeyusho anyway kaka Oscar nimependa iyo mm na boda wenzangu wote afu naww dada ww boda wamekufanya nn Kwan mnashida gan na boda kwann msiwe km Oscar jmn
2026-08-20 07:27:54
1
Jeyi Fulistan :
wanatugonga ukisimama mbel maan unaweza kut nilena akakanyang mafuta alijua ni breki
2026-08-10 20:12:04
1
R A J Y ☆ T Z 🇹🇿 :
oscar kwenye mataa wanaosababisha boda wasisubili mataa ni trafic wanakamata saana
2026-08-07 20:15:58
3
mac muga :
iyo ishu ya kupita kwenye mataa wakati taa nyekundu imewaka sio kwa boda too hata wenye magari wengi wakiwa kweny mataa akion haman traffic hayup wanapita hatakam taa nyekund imewak
2026-08-25 11:06:28
4
kijongole :
dah tumepata mtetez wetu alindwe Oscar selikali imlinde huyu
2026-09-11 19:29:19
4
Fadhil Mkulu :
oscar anaongea yupo sahihi kwani tarehe 23 mwezi wa 03 mwaka 2026 , Mimi nilikuwa na pkpk na Kwa kuzingatia Sheria nilisimama zebra nikiwa nasubiria watu wavuke ili niendelee na safari lakin kilichotokea pale nyuma yetu kulikuwa na loli la kokoto, lile loli halikusimama na mwisho wa siku likatufagia watu wote ambao tulikuwa tumesiama na watu ambao wanavuka tukagogwa Mimi binafs nilivunjika mguu, na wengine majeruhi na watu wa tatu kupoteza uhai wao pale pale , na paka sasa Mimi nipo nyumban najiuguza na nimekosa haki zangu kwa sababu nimekosa ufatiliaji , na ajari hiyo ilitangazwa kwenye media maeneo ya suka na loli hilo lilichomwa moto na wanachi wa hasira Kali, kwahiyo oscar yupo sahihi kwa sababu sisi tuligongwa tukiwa tumefata sheria
2026-08-22 17:24:36
4
To see more videos from user @4gus__2, please go to the Tikwm
homepage.