am I the only one who don't see what this guy is saying
2026-08-06 12:09:36
0
Aimerence Matabishi Zabona :
We don’t mind about the days we mind about the Lot Jesus
2026-08-06 06:54:28
0
Pinchol ☄️ :
absolute truth
2026-08-06 13:41:18
0
@🤞 :
Kumbe siku inaanza jioni jua likizama😳😳
2026-08-06 10:35:20
2
Jackichen Laurent :
NO! NO! NO!!!!.
Nadhani mhubiri ni vyema ukajua Kwamba unaongea na umati wa watu pindi unapohubiri Kwa njia ya mtandao.
1. Umesema Biblia haitaji siku kama sisi tunavyozitaja, nakubaliana na wewe, Swali je, umetoa wapi connection ya kuitaja ijumaa na ukasema ndiyo ijumaa kuu na ukasema kesho yake ndiyo sabato??? Sijakuelewa hapo.
2. Ukweli ni Kwamba unaturudisha siku za ujima, Biblia ishasema mtu asituhukumu Kwa sikukuu au mwanandamo wa mwezi au Sabato . Rejerea Wakolosai 2:16
3. Yesu mwenyewe aliivunuja Sabato baada ya kuona watu wanatenda dhambi nyingi ila wanajifanya kuishika Sabato, hivyo yeye akawa ndiye Bwana wa Sabato, ndiyo maana tunasema tunaokokewa Kwa NEEMA na tunauhishi wokovu Kwa NEEMA, Mwenye NEEMA hiyo ndiye Yesu Mwana wa Mungu. Yani namaanisha Maisha ya wokovu atuyaishi Kwa kuishika Sabato Bali Kwa kupokea NEEMA ya Mungu.
4. Ukichunguza Biblia inaonesha wasabato walimpinga Yesu, yaani walitaka Yesu apokee usabato badala yao Kumpokea Yesu. Rejerea Luka 13:14.
Bilashaka Kuna kitu umepokea.
2026-08-06 06:51:31
1
Royal Priest :
Hizo siku zinasaidia nini kwenye kuupata uzima wa milele?
2026-08-06 04:15:34
3
DODO BOY :
kwanza mpaka Sasa Dunia hatuendi sawa miaka tuko tofauti na majira huku mchana kule usiku sizan kama siku inaweza kumprleka mtu jrhanam siyo kwel bali ni kumkili yesu kuwa bwana na mwokoz wetu
2026-08-06 08:40:03
1
Joseph :
Wote hao wako sawa inategemea moral yako unaanzia wapi ili update 7 ndio sabato yako
2026-08-06 09:07:22
0
Dominic Ndimbwa :
Amina
2026-08-05 20:13:04
1
Nest_essentialstz :
hapo sijaona hoja, labda kama mchungaji amekubaliana na majina ya siku na pia amekubaliana na ijumaa kuu lakini anachokisoma na hoja anayoijenga ni vitu viwili tofauti
2026-08-06 06:55:57
0
Juma Raphael :
hv siku inaweza kumpeleka mtu mbinguni?
2026-08-06 02:37:50
0
Flo :
Na Kuna Mimi naabudu Kila siku.
2026-08-06 09:10:39
0
Budeba Mayala :
jumamosi mbona huitofasiri kwa kingereza
2026-08-06 17:23:18
0
Official_Immanuel :
Mambo ya kushika siku hana me sioni kama yatamfikisha mtu mbinguni, Mungu alisema tuitunze siku ya sabato ni ipi hiyo siku??? siku ya saba Mungu alipumzika ni ipi ??? ikiwa leo hii kalenda tunayotumia ilitugwa na mtawala wa roma gorlligoria ukienda china wanakalenda yao, ukienda Ethiopia wanakalenda yao leo wako 2019,ukienda iran wanakalenda yao leo sijui mwaka wa 1433, Na ndiyo maana paul alisema
Wakolosai 2:16
[16]Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
2026-08-06 08:10:56
1
Jophrey Ntashobo :
Halafu piah hiyo cyo saut yake. Pr
2026-08-06 10:22:03
0
Aimerence Matabishi Zabona :
The pure heart is anogh
2026-08-06 06:56:04
0
Joseph :
sabato ni juma pili
2026-08-06 09:03:22
0
bushile :
Tufanye yaliyo MEMA twende mbinguni🙏🙏
2026-08-06 16:30:11
0
khuli baly :
sisi wa kongo🇨🇩 tuna hesabu siku vizuri kumbe tunajuwa mungu akibariki pasta
2026-08-06 15:54:39
1
Voicely :
Amina
2026-08-06 08:09:39
0
Mwl. Lemigius Charles :
je ijumaa kuu hiyo unaiamini
2026-08-06 06:46:58
0
Francesco Chearmoung :
ninakuelewa saana mchungaji.
Barikiwa sana kwa mafundisho ya siku ya ibada.
2026-08-06 06:23:56
0
SAUTI YA MAWINGUNI :
Yesu hakuzikwa bali aliwekwa ili kupisha siku ya sabato iishe ili siku itakayofuata Yesu azikwe
2026-08-06 06:06:30
0
Edward :
ninyi watu inategemeana katika siku unafanya nini sahihi siku haiwezi okoa mtu ila biblia inataja sabato ni siku takatifu asa ww unasema sabato sio sk
2026-08-06 07:05:27
0
To see more videos from user @nyayomedia, please go to the Tikwm
homepage.