Hamna Kesi hapo ni uwonevu...Pikipiki ml 2,700,000 huwezi kuuza nyumba ya ml 20 kwasababu ya Pikipiki.
Akipata Wanasheria hapo hana kesi sana atadaiwa laki 7 km ml 2 walishapokea.
Bora muweke mkeka tumchangie
2026-08-05 20:17:59
48
@iambiba :
mama asaidiwe inunuliwe pikipiki mpya apewe mwenye piki piki mengine yahesabike kama hasara na ajali kazini.
2026-08-06 06:05:39
14
Chale :
weka number tuchangie
2026-08-06 04:44:32
0
Elizabeth Shrima :
Weka No 2change
2026-08-06 04:19:46
1
Dr.sweet mobile store and👗👕 :
tunaomba mkeka achangiwe
2026-08-06 07:00:36
4
Soyosso mbogo :
TUNAHITAJI NAMBA TUCHANGE, tujifunze kuokoana wenyewe kwa wenyewe, hakuna mtume wala kiumbe chochote kutoka angania au mawinguni kitakuja kutuokoa, hii ni hali endelevu hiwe tamaduni yetu kusaidiana kwenye haya matatizo baina yetu na mifumo yakitumwa ukandamizaji, kama ambavyo imekuwa tamaduni kwa waliopo kwenye mfumo wanaumoja kutukandamiza na kudhurumu mali na haki ya watanzania, mfano Report ya Cag inatoka kila mwaka na wizi ubadhilifu mkubwa wakufubaza taifa hili unadhihirika kwenye sekta tofauti na hakuna anayechukuliwa hatua sababu sheria za nchii hii ni zaukandamizi tu kwa mwenye hali ya chini ambaye hayupo kwenye mfumo (cheo) chakuidhinisha ubadhilifu, leo kwa Mama huyu kesho ni kwa jirani yako ndugu au wewe kama ambavyo utekaji unatekelezwa
2026-08-06 06:25:56
3
Nafsa Hamis :
duu mam asaidje jmn iyo pesa ndogo kwa nyumba
2026-08-06 02:43:11
8
DORIS MZAVAS :
tumchagie jaman hata bukubuku tumsaidie tuuu abaki na nyumba yake jaman nimemhurumia huyu mama jaman
2026-08-06 07:03:53
5
violeth :
Tz hoyeee
2026-08-05 21:57:13
0
Almas Juma :
huo wiz hata mahakama haijatenda haki
2026-08-06 04:07:11
3
Sabrina @ :
hiii ishu ilishamkuta mzazi mwenzangu usiombe yakukute isikie to,
2026-08-06 01:28:23
5
mercyjoseph852 :
Kusaga toa namba tumchangie huyu mama 😭😭
2026-08-06 05:30:38
4
dax electronics :
ROHO NZURI WAKATI MWINGINE SIYO SIFA NI KUJITAFUTIA MATATIZO NA WATU
2026-08-06 03:32:00
4
vyombodiscount_tz :
jman kusaga naomba tusaidie namba zao tuchange hilo deni 🥺🥺
2026-08-06 04:03:12
3
mama boys :
Iyo pik pik ya mil 5 n aina gan??hii nchi pesa iko juu ya sheria yan hakimu mwenye mamlaka anamuuliza mshtaki et unasemaje uonevu tu
2026-08-06 07:01:14
0
mumy naylah 24 :
jamani tumchangieni
2026-08-05 20:04:37
4
Rinah :
Huruma isizidi uwezo Jamani pole mama
2026-08-06 05:03:25
0
Iq@ :
pole sana.watanganyika tupaze sauti.kwauonevu huu tuseme apana tena kwavitendo nasio kwamaneno.inaumiza sana hii kitu
Huyu apewe msaada wa kisheria huwezi kuuziwa nyumba kwa kumdhamini mtu huyo mama alete huo mkataba ambao unaonesha kuwa huyo mama kaweka dhamana ya hiyo nyumba. Hiyo 2m huyo mama atakiwi kulipa huyo dada anatakiwa afungua kesi na kama hakukata rb toka kipindi yule mtu kakimbia means hapo hamna kesi. Huyo anamchezea huyo mama na hiyo maahakama ya mwanzo sizani kama hata kaka kuna hakimu hapo watu wafwatilie hiyo kesi wanataka mtapeli
2026-08-05 22:01:56
4
Chadumkopa Makopa :
ndugu mwandishi weka namba ya simu ya uyu mama yumchangie ela
2026-08-06 06:18:24
1
user5961350943797 :
aweke namb tuchang milion tano ni ndog sana jmn watu wanaroho mbay nyumb ya milion mia inauzwa milion tano nooooooo!
2026-08-06 04:41:24
1
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm
homepage.