Imagine they are not interested in the mother in quotes soo sad
2026-10-29 07:07:18
0
isaiah Kenya safari guide :
not true I can't believe
2026-10-29 07:01:27
0
pretty Noela :
Jamani sio mama ni dada wakazi aliwalea vizuri sana watoto wakampenda kama mamayao
2026-10-28 08:32:16
158
Nahisemo Alpha-Omar :
oooh my God! every emotional! I am really shocked 😭
2026-10-29 08:19:44
0
binti-kabende :
na mmoja anafanana nae msinichambe nimetapeliwa
2026-10-28 11:55:04
40
sharonsharzieviolenta :
even the mother is not happy
2026-10-29 08:17:07
0
rouhy :
sio wanawe wamemzoea 2
2026-10-28 08:08:05
9
🦋 :
AM SO SO BAD 😔😔😔😔😔😔
2026-10-29 08:34:09
0
Valentine🤍 :
sibora ata Aho waarabu, Mimi wangu baba ake alivyompeleka shule akumrudisha, Mwanangu nikaambiwa sitokaa nimuone na Mimi nikafukuzwa nyumbani kama mbwa😭😭 kama ujaoa au kuolewa aomba mungu akupatie mtu alie sahihi. Kuna mda nashindwa kula inauma sana Asikwambie mtuuu, Bora ata uyo aliwakumbatie wanae.Me sikupewa ata iyo nafasi na apo nitulikuwa wanandoa😭😭😭 Mungu nitunzie mwanangu uko Aliko.
2026-10-28 07:43:58
21
Pili Ramadhani :
jamani mimi nisinge kubali ila ludi nyumbani kisha jipange kwaajili ya kuwa pata watoto wako usikubali
2026-10-28 07:39:32
31
carol carol :
is it possible she give back the money and take her kids with her this is too much
2026-10-28 06:38:57
8
Victoria clement :
kama siyo watoto wake kwann wanalia mama siwengesema dada
2026-10-28 09:00:54
14
Sophia Saidi :
mhhhhhhh
2026-10-29 08:43:39
0
scolah :
Umaoja WA mataifa uko wapi jamani waoneeni huruma watoto hao
2026-10-28 07:39:16
16
Givanian :
mm nitarudisha doo npewe watoi wangu
2026-10-29 09:46:17
0
Sophia Nasibu :
daah Bora nikataa pesa nibak nawatoto
2026-10-27 22:49:06
10
ashura💜💫 :
haka najikuta nalia namimi dada angu pole duuuh inauma
2026-10-28 06:23:06
9
Elizabeth balekele :
apewe watt nimelia had kuzima jaman
2026-10-28 07:13:16
6
Queens de :
Jamn uyu siyo watoto wake kama aliyo sema yule kaka na nyie mkachukulia ndoivyo hapana uyu dada ni mfanyakaz wa miaka sasa anaondoka watoto walisha mzoea na kukumwita mama tangu wakiwa wadogo
2026-10-28 07:13:23
11
Halimaty juma :
Watt wakiarab jaman wakikupenda dada wakaz kunakuja kuwa mtihan siku akiwa anaondoka
2026-10-29 08:50:21
1
Janet.M.M :
usikubali watoto wako wabaki enda na wao
2026-10-29 07:38:31
1
rahma_rashid :
Sasa tuelewe nini dada wa kazi au mama Yao nani atuwekee sawa jamani hapo
2026-10-29 06:32:43
3
Anna teophili :
hapana sio dada wa kazi huyu ni mama yao acheni kudangnya umma
2026-10-28 22:57:11
0
user5488057587083 :
Mimi kutachimbika sijawahi MTOTO wangu
2026-10-29 08:46:52
0
To see more videos from user @atta_ullah65, please go to the Tikwm
homepage.