@nikizajr: HUYU BODABODA NI MGENI😂😂😂😂

Nikiza JR
Nikiza JR
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 20:10:29 GMT
33016
901
73
18

Music

Download

Comments

znasser258
Nasser Rostom :
Oyaa sio mgeni ila anafuata Sheria za udereva
2026-08-06 05:16:12
17
qaaassimu
Bin Seleman🇹🇿 :
sio Kila mtembea kwa bike ni Boda
2026-08-06 02:50:19
22
shaban.mngazija
Shaban Mngazija :
huyo ana majukumu na ana jitambua
2026-08-06 01:58:00
57
pie_mkanda
Brand_King :
sio mgeni wala mfata sheria, ila anataka kukunja aingie kulia.. huoni aliwasha endicator? Sasa akipita hapo kati si hiyo gar itamzuia kukunja kulia
2026-08-06 06:23:16
4
bravado090
Bravado :
ila binadamu mtu akifuata sheria ni mgeni akivunja ni muovu
2026-08-06 06:49:56
4
bernard5896
Bernard :
Huyo kasoma anajua sheria ndio maana anafata utaratibu safi sana ndio maana umeona kavaa kila kitu
2026-08-06 05:15:28
13
user7178772504688
telio chipugi :
usikalili sio kila mwenye pikipiki ni boda boda
2026-08-06 06:35:22
3
badcrazy51
bad crazy :
tofautish bolt na boda boda brooo
2026-08-05 22:15:26
3
brown.osiah
Brown Osiah :
mimi sio boda ila usafiri wangu natumia pikipiki hua sinaga haraka maana sipeleki hesabu wala situmii kama biashara sasa nawahi wapi
2026-08-06 06:48:33
1
doratairo
doratairo :
huyu anajielewa na anaelewa umuhimu wa kufata sheria za barabaran kwaio kijana usijisifie kwa kuvunja sheria za barabaran
2026-08-06 06:55:39
1
asiminho0
asiminho :
hujaiona indicator inaonesha wap
2026-08-06 05:14:53
1
johannessnethan
johanness @llan :
sio kila boda boda anapiga boda mzee
2026-08-05 20:55:34
9
2cedo9
man CEDO :
Sio mgeni ni Learner😂😂😂
2026-08-06 05:50:33
1
ican.iwil
I can I will :
akifata sheria mnasema, wasipofata sheria mnasema
2026-08-06 06:49:04
0
mtumakini8
Mtu makini :
Mungu amsimamie kuna asilimia 80 zakuumia a huku taahadhari kuna watu hawapendagi boda
2026-08-06 03:36:29
3
kizuathename
KIZUA MAKUKU👉buguruni📍 :
Kwa boda uyo wakuja
2026-08-06 06:49:05
0
oberd.tweve
GOGU MAGA :
hataki kuwa nyumban
2026-08-06 02:11:04
1
lackdizoo12
lackdizoo12 :
yaani huyo jamaa yuko vzr kwenye sheria tyz ukipita hapo ukata tatzo boda boda ndo mwenye makosa
2026-08-05 21:25:10
0
cevookemzone
cevookemzone :
usalama bala balanii , chalii anguu
2026-08-06 06:31:09
0
shirima397
Shirima :
Yani wew umekariri sio kila aneendesha pikipik anafanya bodaboda
2026-08-06 06:53:40
0
saul6281
Saul leonard :
akivunja sheria nap mnaongea
2026-08-06 07:06:56
0
user8881900116145
majabyr :
huyo sio boda huyo atakuwa boss mwenyewe
2026-08-06 06:33:01
0
its_officialecr
its mr official :
ana tii sheriaa
2026-08-05 23:17:52
0
To see more videos from user @nikizajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About