@connect_tz0: Airtel 5G router Bei:100,000/= Kila mwezi :70,000/= Inaunganisha vifaa 64 📞0625811070 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktok #viral #fypシ #fypシ゚viral

Connect_tz
Connect_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 20:57:27 GMT
25758
511
70
53

Music

Download

Comments

tyranny_31
DON :
kwanini bando zinaisha tareh 25
2026-08-29 16:39:56
1
ggna_23
Gie 🤍 :
Ina mbps ngap!!
2026-08-18 18:56:25
1
atanas327
mathew mlawa :
ikiwa imeisha bando unajuaje
2026-08-24 16:53:57
2
allyramadhani2557
Ally Ramadhani :
mimi mwenyew kinanisumbua hapa hadi kero watu wananichukia hatar
2026-09-11 16:06:11
0
joh_9630
Johanes Gosbert :
namba mliyoiweka nasmbiwa haipo
2026-09-11 08:42:16
0
budeba01
basu budeba :
yaan bora mngekuwa mnasema ukweli muda huu kinaniumiza adi watu wananichukia nawaibia ila router Airtel nimewachukia sana
2026-08-30 15:46:19
1
michaeljoash209
Navy Falcon :
Airtel ni ovyo sana☺️☺️
2026-08-06 05:30:30
0
mr_balle7
🇲 🇷 🇹🇿 🇧 🇦 🇱 🇱 🇪 :
naitaka sasa atanifungia nani njee
2026-08-12 16:03:34
0
nikas.aledy
Nikas Aledy :
Nipo geita katoro naipataje
2026-09-11 09:47:15
0
mohamedyseif711
official mouh :
ya kwangu inasoma 4g tu 5g haikubali mbn?
2026-08-18 11:31:12
0
feizer4
feizer :
Mimi natumia hiyo hiyo ipo vizuri sana 🔥🔥 kuna settings zake unazifanya kwenye account yake
2026-09-16 14:36:30
0
0616092730japhetjohn8
willison baracka :
ni yale yale Airtel mi nikiziona napata asira sana yan nakasirika basi tu eti wananitumiagacet bando la retail
2026-08-07 21:05:11
0
engbsway
Bruth StreamPro :
kunarusha mita ngapi?
2026-09-03 19:45:31
0
amintwaha7
Amini twaha :
Na hitaji
2026-08-31 12:36:15
0
user9354998191308
brother :
Nipo nayo line sina nifanyie mpango wa line
2026-08-31 11:00:14
0
dorahmsigala
Dee collection :
Iko vizuri 🔥🔥hata mim uwa naibeba
2026-08-09 08:36:36
1
entiagoaccessoriesstore0
ENTIAGO ACCESSORIES STORE :
mm ni mtumiaji wa hiyo wifi ziko vizuri mnoo. kwanza inaunganisha watu 64 ya ndani 32 na ya nje32. still inaenda 100m
2026-08-25 10:01:11
1
madicotheboy6
Madicotheboy :
Nimekuja kusoma Comments za walizo nazo hili nijue 😁
2026-08-31 11:46:37
0
fredyisack0
fredyisack0 :
hamna router hapo even kifrush kikubwa no consistency mara 5mb/s mara 10kb/s hado 0kb/s can't take 10gb file straight, I feel like ni throw kwa barabara zikanyagwe na gari
2026-08-30 05:55:25
0
01precious8
01precious8 :
Nahitaji power bank.
2026-09-12 09:56:27
0
djinine9
djinine9 :
Bado unazo mkuu?
2026-09-17 13:51:54
0
hamiduhussein5
JUST-ME🐝 :
unafaynyaje
2026-09-17 03:21:25
0
budeba01
basu budeba :
zinasumbua sana nataka niitupe ngoja tu nivumilie kwa sababu kuna bando
2026-08-30 15:45:04
0
angelnicholous
Angel Nicholous :
hicho kinachofungwa nje kama fundi ameshaondok naweza kukipandisha juu mwenyewe? maan imefungwa chini
2026-08-30 12:02:33
0
erickezra83
FUNDI÷ GYPSUM BOARD !! RANGI :
2026-08-06 07:22:50
0
To see more videos from user @connect_tz0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About