jaman mwenzenu kila nikilia nijilekodi badala ya kulia naanza kujicheka🤣🤣
2026-08-06 18:23:21
43
M A N U U H🧸🦴 :
Try to hide your pain if you can. But if you need to cry, then cry alone in private. Don’t let anyone see you, and don’t let them know that you were crying.but sorry
2026-08-06 07:35:31
19
nashraifat :
mapenz yatatuua bure ni bora niwe single tu
2026-08-08 18:13:54
4
jasmine🦋💍 :
huu mwezi jmn mbn wengi waanachwa kwann 🥺
2026-08-06 09:40:52
8
C0w 🐄🐄 B0y👊🤴👑🦁 :
Tangu nianze kuwa na wapenzi zaidi ya wawili saivi naenj0y life Tu 😂😂
2026-08-06 19:13:13
3
aloyce3 :
bora nyie 😅😅 eb npen kit nkae niwaambie ya moyon mwangu
2026-08-06 14:34:58
3
bint omar :
najuwa haiwahusu ila la kwangu ndo kwanza jipyaa
2026-08-07 19:44:21
3
🐳Pisces ♓ :
nimemfumania jan na mwanamke ndan kwang chaajabu sina hat maumivu 😂hat kulia hamn nipo zang kimya sijapigan. wala nin yaan nipo kimya bize na mwanang au nimekufa moyo jamani😂😂😂😂
2026-08-06 17:40:10
3
🦋Shadow206🦋 :
Ili baki kidogo niachwe
2026-08-06 18:56:41
1
Marry :
jaman tutulie kila mtu atafikiwa
2026-08-07 14:25:52
1
Mwanaah baby 🦋💯💘🌹🍎 :
Pol3ee sas usilieh nitamloga
2026-08-06 10:12:26
1
no.name😌🤍 :
ukiskiliz nyimbo za aslam yooh😅 utalia xn
2026-08-06 19:33:54
1
dava😈🍀✝️ :
Dah pole uta pata mwingine wa kukupenda zaidi yake 🥹🥹
2026-08-06 12:29:59
1
KID BWAY-😝HANSBOE🥳 :
Dah🥹
2026-08-05 22:00:47
1
Quen vee❤❤ :
nipen kiti nikae kwanza💔😭😭
2026-08-09 15:07:21
0
@slogan_boe99 :
pole jomon🥹🥹
2026-08-09 12:09:57
0
Fey wa lello💍❤️🥰 :
Poyeee mwayaaa utapoa ila nd hv 🥰🥰
2026-08-09 11:05:24
0
zuuh. 0fficially⛎ :
tangia zuchu na diamond waludiane siamini tena mitandao 🤣🤣
2026-08-09 10:11:19
0
kiekie :
😂😂apooo
2026-08-09 14:35:01
0
To see more videos from user @12muyyan, please go to the Tikwm
homepage.