@sheikhkandauma: Machozi yanatoka machoni kwa maradhi ya msomaji wa quraan amepata stroke ya mwili mzimaa

kandaumaahmed@gmail.com
[email protected]
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 21:56:09 GMT
33346
2685
293
233

Music

Download

Comments

mama.anuary1
Mama anuary :
Wekeni number tuchange waislam wenzie inshaaaalah
2026-08-06 03:08:05
2
aboubakarmariammzury
Aboubakarmariammzury :
Allah amjaalie shufaa
2026-08-06 03:27:02
0
malenga.baba
malenga baba :
Allah aqbar
2026-08-06 10:18:53
0
azy.nass
Azy Nass :
hassad is real
2026-08-06 03:01:19
0
abuikram11
abuikram001 :
wekeni namba za sim hata sisi maskini tukiweka elfumoja moja zinaweza kuanza kufanya jambo kabla ya kupatikana hao wakubwa
2026-08-06 05:31:12
18
khajiathumani
khajiathumani :
allah allah
2026-08-06 10:32:46
0
azhar_salim
azhar_Salim :
Bakwata nayo ina msaada au barua t za kuidhinisha michango
2026-08-06 03:39:09
11
abouyaqub_abdulbary
Ustaadh abouyaqub_mk✊ :
Allah amuafu mtu wa kheri huyu ustadh Ibrahim🤲🤲 ni msomaji alie tutumbuiza sana kwa sauti yake nzuri katika kusoma kitabu cha Allah .
2026-08-06 00:11:53
29
chinunu02
lovely 🌹🌹💝 :
mwenyez mungu atamfanyia wepesi inshaallah mngeweka hata namba mwenye chochote tuweze kumsaidi
2026-08-06 09:21:19
0
mrisho672
mrisho :
wekeni namba ta kuchangia
2026-08-06 08:29:36
0
rasheed.kinyash
RASHEED KINYASH :
Subhaanallaah M/mungu Ampe Afya njema ndug yetu
2026-08-06 04:37:56
2
foodchainfixers
FOODCHAINFIXER_26 :
Sheikh tafadhali tunaomba namba au namna ya kumfikia
2026-08-06 06:56:08
0
kabilakubwa
Kibogoyo :
Tuwekeeni namba yake tutabaruk kwa chochote. Mola amuafu ya Rabb.
2026-08-06 05:20:00
0
usermunawwar1
user9732679863282 :
weka namba tuchangie sheikh
2026-08-06 04:26:32
0
hymor09
@hymor :
mngeweka namba ya simu kwa tuatakaojaliwa chochote tuweze kumchangia
2026-08-06 04:39:53
0
user3658815433594
user3658815433594 :
tupeni namba yake tuchangiee
2026-08-06 04:53:35
0
jibriljuma5
HEAVEN :
wekeni namba ya simu ili tuweke chochote tutakachoweza
2026-08-06 08:46:11
0
issa.abdallah17
Issa Abdallah :
wekeni namba ya mzazi apate msaada wa mtu mmoja mmoja kabla ya taasisi kubwa hazijamfikia
2026-08-06 06:56:58
0
munirhaji671
munirhaji :
Allah amfanyie wepesi ndugu yetu pia toeni no ili tuchangie chochote tulichojaaliwa,
2026-08-06 04:39:49
0
allwatan.dochvele
Allwatan Dochvele :
Qar Allah yuko pamoja nawe na kila alie kuendea kwa ubaya Allah atamuuqm . weka namba ya Babaake hapo tuchangie kwaajili ya Allah
2026-08-06 06:12:32
0
vaspuracan3
vaspuracan :
wekeni namba yake tuchangie tulioguswa
2026-08-06 04:25:01
2
user1032444763733
baba akeee amina :
pole yet wot ila mngeweka no tuchangie man hat mm naskiliz sn anavyo soma na napend weken namba tuchangie tulicho jaliwa
2026-08-06 06:29:24
0
abedimzava3
abedimzava :
ntuwekeeni namba yske tutachangia inshaallah
2026-08-06 03:54:32
1
shufaa.saleen
Shufaa Saleen :
Pls weken namba tumchangie🥹🥹 maskin hadi kapungua🥺
2026-08-06 03:43:08
1
user3261811000713
MFULU MORO :
mbona mawasiliano hamjaweka kwa maana ya namba ya kupokea hela
2026-08-06 03:24:38
0
To see more videos from user @sheikhkandauma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About