@mabatikigae_original: ๐ โจ MCHEZO WA BATI UMEFIKA! โจ๐ Unataka kujenga lakini huwezi kutoa pesa yote kwa wakati mmoja? Sasa hakuna sababu ya kusubiri! ๐ โโโโโโโโโโโโโโโโ ๐ฐ Kwa Tsh 20,000 tu kwa siku, unaanza safari ya kumiliki bati 80 za GJ30 Original. ๐ Kila baada ya siku 3, mshiriki mmoja anatoka na mabati yake 80 kamili! โโโโโโโโโโโโโโโโ โ Bati Original Gauge 30 โ Mgongo mpana na mgongo mdogo โ Wateja wa mikoani tunawatumia โ KG 5 za misumari BURE โ Usafiri BURE hadi site โโโโโโโโโโโโโโโโ ๐ MASHARTI YA KUJIUNGA: ๐ Kitambulisho cha NIDA cha mchezaji ๐ Wadhamini wawili (jina + namba ya simu + NIDA ya kila mmoja) โ ๏ธ Endapo mchezaji atashindwa kuendelea na malipo baada ya kupokea bati zake, wadhamini wake ndio watakaowajibika kukamilisha malipo โ ili mzunguko wa wenzake usikwame. Endapo wadhamini nao watashindwa, tunakuja kutoa bati zetu. โโโโโโโโโโโโโโโโ ๐ Salama โ๏ธ Rahisi โ๏ธ Ya kuaminika โ๏ธ Usikose nafasi ya kujenga kwa utaratibu rahisi! ๐ 069 498 2293 069 498 2293 ๐ Tabata Matumbi, Dar es Salaam โโโโโโโโโโโโโโโโ #MabatiBoraTZ #MchezoWaBati #JengaNyumba #BatiOriginal #UjenziTanzania RoofingTZ