@phidy20: #saudiarabia🇸🇦 #kenyantiktok🇰🇪 #kadamasaudia🇸🇦 #viral #fyp

🩷 phidycute 🫦❤️‍🔥
🩷 phidycute 🫦❤️‍🔥
Open In TikTok:
Region: SA
Wednesday 05 August 2026 23:58:09 GMT
87908
5340
391
81

Music

Download

Comments

alicechomba281
Alice chomba :
silent treatment better 😂
2026-08-06 09:58:13
0
jay.besh0
⭐ ✨ Jay Bella ✨⭐ :
thaz y we kemboi kukiwa bad we change the house wuee let me enjoy being a kemboi
2026-08-06 09:28:59
1
turkishbae2
S:G:L♥️ 💰🥷 :
mwambie akupeee ticket mapema
2026-08-06 08:18:20
0
ngangatdey
Daisy ngangat :
silent treatment with bombastic side eye 👀👀👀 atakuogopa
2026-08-06 05:05:27
174
162sylvia
🦋Min.SIA🦋❣️ :
mimi naeza kupea silent treatment ushangae
2026-08-06 00:24:05
98
shiruzahra6
shiru ❤️❤️zahra🤍💖 :
my phone is full of their missed calls and voice notes ata sizisikizangi mm simu nj yangu na kredo n mm najibai
2026-08-06 04:49:18
2
hkimie820
kimmie :
😂😂Mimi nayo huwa sijibu nakupea macho ingine utadhani Mimi n ibilisi
2026-08-06 04:39:05
206
mermie80
mermie chidzuga :
sometimes just give them a simple silent 🤫 please atakupatia headache dear.
2026-08-06 05:05:17
4
emily.kena
Emily Kena :
mimi nilikuwa na boss kama huyo ilibidi niende kwa mganga sahii niko sawa
2026-08-06 06:54:55
35
evetatieno112
Everline Atieno :
Hiyo nguvu ya kuwajibu unatoa wapi
2026-08-06 06:27:27
16
santosthetourguide
Santos Taita hiker :
Usiwai jibizana na ao watu wakiwa wanaongea just listen only answer when you really need to otherwise mkiongea nyote mtasumbuana atajam zaidi
2026-08-06 05:27:17
5
kana.kanake
Kana Kanake :
ukitaka amani na hawa watu usimuongeleshe ukiona anakutafuta maneno mpee tu macho ya hasira basi
2026-08-06 04:43:10
37
paulacollection04
PAULA COLLECTION :
Kuna watu comment section wanasema hawajibizani na warabu, hamjui kuwa Hawa wamama ni tofauti.mimi wangu Toka January hatuongeleshani Hadi leo.nilimwambia awache kushout Mimi SI mtoto wake
2026-08-06 07:58:23
15
luvunokkabi
sada :
ndivyo walivyo mimi hapa naambiwa kazi ni kula nakutumia.wifi ya bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 05:56:16
9
khadijaiddy861
hadija :
pole sana mdogo wangu hao watu nawajua vizur nimekaa nao miaka kumi na tisa
2026-08-06 04:08:46
10
shaniz419
shaniz419 :
nyinyi mnasema ata usimjibu hwa watu wanaeza kupush kwa wall inabidi unajiongea banah
2026-08-06 08:45:41
5
mohamedshivaka
Mohaa..☕️🍷 :
Waa Sorry Wallah
2026-08-06 01:54:32
0
stellahombati
💫lastborn🎣 :
Dada nakwambia hivi hwa ni maumbwa hajana naye shenzi type
2026-08-06 00:18:52
16
user6544385262639
maureenthuku😍 :
Mm alkua amezoea kunitusi juzi nlipack kwenda kwa office 😂😂😂 mzee akaniogelesha kuskia bibi matusi ananitusingi 😂😂😂 alishangaa sana boss wangu aliambiwa hio matusi haitusianangwi kwake 😂😂 kulkua kumoto sana
2026-08-06 07:41:50
5
viviananderson208
miss vee🥰😘 :
She is jealous of you being on the phone ataki umemake vide anajua u do tiktok and she want to distract you wen doing video by calling you. Kua mjanja nunua Ata katululu uweke simcard akikucall ushike kua na simu mbili. Mind game my sister win her usiache akutafte makosa be smart
2026-08-06 02:34:02
13
wynz.bandi
Linet :
ww nae kwa simu Kila saa alafu mnawaita wabaya aaaaai 😂😂😂😂😂
2026-08-06 08:07:55
3
godsdaughter537
Wamboi wa CPA :
my situation right now....ata nasikia ku murife.....lkn hakuna njia ya kutoka
2026-08-06 09:55:55
0
zeddy747
ZEDDY :
ukitaka amani akiongea usijibu macho yanatosha ukijibu ndo story inakuaga mob na hatanyamaza
2026-08-06 10:24:12
1
anitas3829
mammy heart :
wangu mm na bb yake tunakeshanga alafu tuna lala asubuhi acha anikujie na wageni siku Moja badala aache tulala wakaanza mouthing 🥺 nilipanda kwa kitanda nikalala na nikaanza kushuta🤣🤣wakathani ni mgonjwa amepupu siwalienda🤣💃
2026-08-06 10:43:54
1
To see more videos from user @phidy20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About