Hatuna hela ya samaki wala kuku maini yanatunza sumu nyama kg 13 kwa maisha haya hiyo hela tunapata wapi
2026-08-06 13:21:53
0
Husseyne :
Tatizo life sometimes tunapenda bado tunajikuta tunafeli i
2026-08-06 10:03:30
1
Mkokotole :
n
2026-08-06 07:26:18
1
Hilly❤️ :
Huyu nae jmn...
2026-08-06 10:53:25
0
Khalid Da Prince🫅👑🤴 :
Mnatuvuruga tule nini sasa
2026-08-06 17:40:20
0
FUNDI RANGI :
ukikosa kula ugali hautakua na nguvu sema sikumojamoja kulaugali na majani mengi
2026-08-06 16:23:10
0
user716126126098 :
kwajinsi napenda viazi na samaki chukuchuku aiseee hii itakuwa ngumu kwangu🤣
2026-08-06 13:16:46
0
sheylla rashidi :
kheee kumbe hadi Viazi pia jmn hapana
2026-08-06 13:54:41
0
Khalid Da Prince🫅👑🤴 :
1 Timotheo 4
3 : wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
nanyie tumeshawachoka! hiyo program yako unayosema huwezi kula kama unafamilia ila unaweza kula kama uko singo lakini kwasisi wenye familia wali ugari Kama kawa
2026-08-06 13:53:12
0
maggie decor :
Tule nn sasa bana wew
2026-08-06 14:25:25
0
Mrs Rashid Mang,mbe :
Sasa mungu aliviumba vya kazi gani
nyie msiituue
kikubwa
MTU ALE CHAKULA ANAPOSIKIA NJAA
NA ANAPOKULA ANATAKIWA KUSHIBA KWA KULA MCHANGANYIKO WA VYAKULA VYOTE MUNGU ALIVYOVIUMBA
NAUHAKUKA MTU AKILA AKASHIBA VIZURI UNAWEZA UKAJIKUTA UNAKULA MARA MOJA TU KWA SIKU NI HIVYO TU.
2026-08-06 14:32:01
0
Ba mdogo wa pastindo🫡 :
eeeh hadi ndizi duuu hiii imezidi
2026-08-06 18:52:32
0
To see more videos from user @zeriajackson4, please go to the Tikwm
homepage.